Serikali imesema inalenga ifikapo mwaka 2021 vijiji vyote hapa nchini vitakuwa visambaziwa nishati ya umeme ili kuondoa changamotombalimbali zinazowakabili wananchi ikiwa ni pamoja na kukuza uchumi hasa katika maeneo ya Vijijini
Muhingo Mwemezi Medad Kaleman Waziri wa Nishati na Madini Raymon Seya [Tanesco] Bangie Msofe[Rea] Kibondo Serikali imesema inalenga ifikapo mwaka 2021 vijiji vyote hapa nchini vitakuwa visambaziwa nishati ya umeme ili kuondoa changamotombalimbali zinazowakabili wananchi ikiwa ni pamoja na kukuza uchumi hasa katika maeneo ya Vijijini Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nishati na Madini Medadi Kalemani wakati wa uzindizi wa Rea awamu ya tatu uliofanyika kimkoa katikata ya mabamba wilayani kibondo mkoani Kigoma ambapo amesema hadi hivi sasa vijiji vilivyobaki ni 7873 Nchi nzima Aidha Kalemani amewataka Watanzania kutokana na hatua hiyo ya serikali kupitia wizara ya Nishati na Madini kuchangamkia fulsa hiyo kwa kuboresha miundo mbinu majumbani ili waweze kupata huduma hiyo muhimu Katika Uzinduzi huo mkuu wa Mkoa Kigoma Brigedia General Mstaafu Emmanuel Maganga amemtaka Mkandarasi kufuata taratibu za makubaliano na ...