Kutokana na ongezeko la matukio ya unyanyasaji kwa wanawake na wanaume ambao wapo katika ndoa hususani maeneo ya vijijini mkoani kigoma vitendo hivyo vinedaiwa kushamili hasa nyakati za sikukuu za kristmas na mwaka mpya na nyinginezo
Kutokana na
ongezeko la matukio ya unyanyasaji kwa wanawake na wanaume ambao wapo katika ndoa hususani maeneo ya
vijijini mkoani kigoma vitendo hivyo
vinedaiwa kushamili hasa nyakati za sikukuu za kristmas na mwaka mpya na nyinginezo
Hayo
yamebainishwa na mkuu wa plisi wilayani Kakonko Philmon Mkungu alipokuwa
akiongea na wananchi wa maeneo mbalibali wilayani humo akida hali hiyo imekuwa
ikipelekea kuwepo majeruhi na hata vifo hasa kwa makundi ya wanawake
Wanaume mmekuwa na tabia za kuendekeza tsrehe na kutoroka familia zenu na mnaporejea baada ya kuishiwa mnaanza kudai mahitaji kwa wake zenu hali inaypelekea malumbano ndani ya familia na kuzua ugomvi hadi kupelekea kuwepo na vifo hivyo natoa angalizo mtu yeyote atakayempiga mke wake atachukuliwa hatua za kisheria japo wapo wanawake ambao nao upiga waume zao'' alisema OCD MAKUNGU
Wakizungumza
na Blog hii, baadhi ya wananchi wa kata za mgunzu na Gwanumpu wilayani kakonko wamesema
ndoa nyingi zimekuwa zikishindwa kudum kutokana na kutofautiana katika tabia
zao wanadoa ikiwa chanzo ni ulevi na mfumo dume .
Awali
akizungumzia swala hilo Mwenyekiti wa kijiji cha kiduduye .Hamimu Manase Amesema
amesha pokea migogoro mingi ya ndoa ofsini kwake na kuitatua lakini baada ya
mda migogoro hiyo imekuwa ikijirudia hali ambayo inawachukulia mda wa kufanya
shughuli nyingine.
Philmon Makungu ocd Kakonko |
Add caption |
Anna John Tindwa Msimamizi Dawati la Jinsia Kibondo |
Maoni
Chapisha Maoni