DKT. BITEKO: RAIS SAMIA AENDELEA KUENZI MAONO YA HAYATI MAGUFULI KWA VITENDO
DKT. BITEKO: RAIS SAMIA AENDELEA KUENZI MAONO YA HAYATI MAGUFULI KWA VITENDO
Maono ya aliyekuwaRais
wa Awamu ya Tano, HayatiDkt. John PombeMagufuli katika utekelezaji wa
miradimikubwa ya Kitaifa kama Ujenzi wa Bwawa la Nyerere, Ujenzi wa Reli ya
Kisasa (SGR), Ujenzi wa barabara namadarajamakubwa kama vile Daraja la Kigongo
- BusisiyametekelezwanayanaendeleakutekelezwanaSerikali ya Awamu ya
SitainayoongozwanaRais, Dkt. SamiaSuluhu Hassan.
Hayo yameelezwaNaibu
Waziri Mkuuna Waziri wa Nishati, Dkt. DotoBiteko katika Misa Takatifu ya kumuombeaRais
wa Awamu ya Tano, HayatiDkt. John PombeMagufuli,
iliyofanyika katika KanisaKatolikiParokia ya Mtakatifu Yohana Maria
MuzeyiWilayaniChatoMkoaniGeita.
“NiwahakikishieWatanzaniza
kuwa miradiyoteambayoHayatiDkt. MagufuliakiwaRais wa Nchi yetu, Serikali ya
Dkt. SamiaSuluhu Hassan inaiendelezayote kwa kasikubwailitumuenzi kwa vitendo”,
amesemaDkt. Biteko.
Dkt. Bitekoameeleza
kuwa WatanzaniawatamkumbukaHayatiDkt. John PombeMagufuli kwa uwezo wake wa
kiuongozi, karamayake ya kutatuachangamoto za wananchi pamoja nakuwasikiliza,
kuondoakeromahalipenyekero, kuhimizauwajibikajiSerikalini kwa kuondoauzembe,
ubadhirifunarushwa.
Katika Misa hiyo,
Naibu Waziri MkuuDkt. DotoBitekoameongozaharambee ya kuchangia ujenzi wa
kanisajipya la Mtakatifu Yohana Maria MuzeyinanakuwezakukusanyatakribaniMilioni
169 pamoja na vifaa vya ujenzi.
Kwa upande wake,
Waziri wa Ujenzi, Innocent BashungwaamemshukuruMhe. RaisDkt. SamiaSuluhu Hassan
kwa kumpa nafasi ya Uwaziri katika Wizara ya Ujenzi ambayoHayatiDkt. John
PombeMagufulialihudumiamiaka 20.
Naye, Mkuu wa Mkoa wa
Geita, Martine ShingellaamemshukuruRaisSamia kwa kutimizandoto za
HayatiMagufuli za kujenga barabara kuunganishaMkoa wa GeitanaShinyanga kwa
kiwango cha lamiambapotayariSerikaliimesainimtakataba wa ujenzikilometa 73 kwa
kiwango cha lamikuanziaKahamahadiKakola.
Kwa niaba ya Famia ya
HayatiMagufuli, JescaMagufuli, amemshukuruMhe. RaisDkt. SamiaSuluhu Hassan kwa
kuwa karibunafamiliakuwafariji, kuwajalinakuwapatiamatunzoyotekadriawezavyo.
Jescaameongeza kuwa
kama familiawataendeleakumuenzinakumkumbukaHayatiDkt. Magufuli kwa
namnaalivyowapendanakuwawekea misingi mizuri ya kuchapakazinakumtanguliza Mungu
mbele kwenye kilajambo.
Misa ya Kumbukizi ya
MiakaMitatutangualipofarikiHayatiDkt. John PombeMagufuliimeongozwanaMakamuAskofu,
PadriOvanMwengenakuhudhuriwanaviongozi wa Serikali, Chama cha Mapinduzi (CCM),
ndugu, jamaanamarafiki.
Maoni
Chapisha Maoni