WAZIRI BASHUNGWA AAGIZA WAHANDISI WASHAURI WANAOSHINDWA KUSIMAMIA MAKANDARASI KUTOPEWA KAZI
WAZIRI BASHUNGWA AAGIZA WAHANDISI WASHAURI WANAOSHINDWA KUSIMAMIA MAKANDARASI KUTOPEWA KAZI
Waziri wa Ujenzi, Innocent
BashungwaameiagizaWakala wa Barabara (TANROADS) kutowapatiakazi za usimamizi wa
miradiWahandisiWashauriwanaoshindwakuwasimamiaWakandarasikutekelezamiradi ya
ujenzi wa barabara kwa viwangonamujibu wa
mikatabanakupelekeaMkandarasikurudishwaeneo la mradi kurudiakazi.
Bashungwaameagiza hayo Machi
22, 2024 Wilayani Mafia wakati akikagua barabara ya Kilindoni - Utende (km 14.6) kwa kiwango cha lami,
iliyojengwanaMkandarasi CHICO nachini ya usimamizi wa Mhandisi Mshauri Kampuni
ya UWP Tanzania ambapo barabara hiyohaikutekelezwa kwa
viwangonakusababishaMkandarasikurudia sehemu ya kazi.
“Kama mlivyofanya katika
mradi huu kwa kumrudishaMkandarasi Site, WahandisiWashauri kama
hawawanaoshindwakumsisimamiaMkandarasiwanapaswawawe ‘blacklisted’ kwa
sababutunawalipapesa ya kumsimamiaMkandarasikwaniaba ya Serikali”,
amesemaBashungwa.
BashungwaamemuagizaMtendajiMkuu
wa TANROADS kutompatiakaziyoyote ya kusimamia miradiMhandisi Mshauri wa kampuni
ya UWP Tanzania nawahandisiwashauriwengine wa
ainahiyoambaowameshindwakutekelezawajibuwao kwa
kuwasimamiaMakandarasikutekelezamiradikikamilifunakuisababishiahasaraSerikali.
“Mhandisi Mshauri UWP
hafainanikionammempakazi sehemu yototemiminanyinyina hii iwefunzo kwa
WahandisiWashauriwenginetunaowapakazi ya kuwasimamiaMakandarasi”,
amesemaBashungwa.
Aidha, Bashungwaamesema kuwa
Wizara ya Ujenzi
itaendeleakuwasimamiaWakandarasinaWahandisiWashauriwalipatiwakazi za kutekelezamiradiilifedhazinazotolewanaMheshimiwaRais,
Dkt. SamiaSuluhu Hassan ziwezekutekelezanakukamilishamiradikikamilifu kama
ilivyokusudiwa.
Naye, KaimuMkurugenzi wa
Miradikutoka TANROADS Eng. MalimaKusesaameeleza kuwa ujenzi wa barabara ya
Kilindoni - Utende (km 14.6) kwa kiwango cha lamiulikamilikamwaka 2015 nabaada
ya muda wa matazamio 2016 yalibainikamapungufu katika kipande cha kilometanne.
Eng. Kusesaameeleza kuwa
baada ya kubainikamapungufu hayo,TANROADS walimtakaMkandarasi CHICO naMhandisi
Mshauri UWP Tanzania kurudiakazi sehemu hiyo kwa gharama zao.
Maoni
Chapisha Maoni