ALATI MKOA WA KIGOMA WAKAGUA MIRADI KIBONDO
Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania ALATI Mkoa wa Kigoma imeishauri Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma kuboresha mazingira ya ujifunzaji kwa Wanafunzi wa Chuo cha Maafisa Matabibu kinachomilikiwa na Halmashauri hiyo
Wametoa ushauri huo Wajumbe wa Jumuiya hiyo wakiwa kwenye ziara
ya kutembelea na kukagua Miradi ambapo wameeleza kulingana na uhimu wa sekta ya
afya ni vema uboreshajiwa miundombinu katika chuo hicho ufanyike haraka
iwezekanavyo
Hatua hiyo imekuja baada ya kupokea taarifa ya namna chuo hicho
kinavyoendeshwa na kutoa huduma ambapo Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya
Kibondo Diocles Lutema ameeleza kwakuwa
chuo hicho kinamilikiwa na serikali wanafuata miongozo
Miradi iliyotembelewa na Jumuiya hiyo ni Ujenzi wa Soko la
Kisasa, Chuo cha maafisa Tabibu, Jengo la Ofisi za Halmashauri ya Kibondo na
Vibanda vya Biashara, huku baadhi ya
ambao ni Lugendo Elias na Anthon Kiteleriwajumbe hao wakipongeza ujenzi wa
Miradi hiyo huku nae Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kibondo




Maoni
Chapisha Maoni