Uharifubifu wa Mazingira ni Elimu ndogo na Ongezeko la Watu hali inayoweza kusababisha majanga makubwa yatokanayo na Tabia nchi
Umasikini uelewa mdogo na
ongezeke la watu hapa nhini vimeokana kuwa ni moja chanzo cha uharibifu wa
mzingira hali inayoonekana kuwa ni hatari ya kupelekea tatizo la Tabia nchi kama hatua za dhati hazitachukuliwa.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya
umasikini na mazingira ambapo watu utumia rasrimali kama
miti kwa kuifyeka kuchoma mkaa au uandaaji mashamba na ufugaji ambapo mambo
hayo ufanyika kiholela kwa kutokujua au kutokana na umasini katika hali ya
kujitafutia kipato
Justin Nditiye ni mmoja wa
wadau wa maendeleo katika wilaya kibondo mkoani kigoma katika maadhimisho ya miaka 17 ya vikundi vya
ujasriamali ambapo ametoa kauli ya kwa
kuzitaka halmashauri za wilaya na vijiji kutoa elimu juu ya matumizi mbadala ya
nishati katika jamii na vikundi vinavyojishugulisha na kazi za kuhifadhi na
kutunza mazingira
Nditiye aliahidi kuhakikisha
anawaletea mwalimu kuwafundisha maswala ya ujasriamali na utunzaji wa mazingira
kisha kutoa mchango wake wa shilingi
laki tatu ili kusaidia kuendeleza baadhi ya kazi za kikundi hicho cha umoja
Wakati wa maadhimisho hayo
amesema kuwa vikundi vingi vya ujasriamali na utunzaji wa mazingira
vikiwezeshwa na kupewa elimu halmashauri zitafanikiwa katika kupiga vita
uharibifu kwani vile ndivyo vilivyo karibu na jamii katika maeneo yahoo huku
wanakikundi cha umoja kilichoko katika kijiji cha Lugunga kibondo mkoani Kigoma
wakielezea shugulu zao na changamoto
Baadhi ya wanavijiji
waliobahatika kupa uwezeshwaji kutoka katika vikundi vya utunza mazingira kwa
kupewa elimu ya upandaji miti wanaeleza faida walizopata huku wengine
wakipongeza huduma nyingine kama komeshewa
watoto yatma na walio katika hali ya ujane
Katika hali hiyo wilaya ya
kibondo nayo imehathirika kutoka na
uharibifu wa mazingira kwakuta miti hovyo kwa ajili ya kuandaa mashamba kuchoma
mkaa hali inayotishia kutoweka kwa maliasili
kama wanyama uharibi wa vyanzo vya maji hatua inayosababishwa na
ongezeko la watu kama wafugaji kwani kila siku ardhi inazidi kupungua na watu
wanaongezeka kama anavyoeleza kaimu
Afisa Maliasili na mazingira Wilaya ya kibondo seif Salum
Hata hivyo uwezekano wa
kudhibiti shughuli za kibinadamu zinazohatarisha mistu na mhimili mzima wa
maliasli hapanchini unakuwamgumu kutokana na jamii kubwa ya watanzania kutokuwa
na matumizi mbadala kulingana na vipato katika familia
Justus Ndtiye, Mdau wa maeneleo Kibondo |
Eneo lililoharibiwa na tatizo la ukatiji miti na kusabbisha jangwa |
Seif Salum kaimu afisa mistu W kibondo |
Maoni
Chapisha Maoni