Ukuaji wa uchumi Tanzania
Takwimu zinaonyesha Tanzania inazidi kukua kiuchumi
kuanzia mwaka 2012 miaka mita hadi sasa
katika Nyanja mbalimbali
Kwa mujibu wa repot ya Shirika la maendeleo la umoja wa
mataifa UNDP kwa utafiti wake wa 2012 na 2013 ambayo ilitolewa katika mtandao
wake inasema kuwa nchi hiyo imefanikiwa kukuza uchumi wake hasa katika baadhi
ya vyanzo vyake ambavyo ni utalii, Kilimo,na Madini vilivyofanikiwa kwa kiasi
cha asilimia 90%. Taarifa zaidi.
Nayo taarifa ya utafiti ya Banki ya Dunia uliofanyika kwa
mwaka 2007 hadi 2013 inaonyesha uchumi
wa Tanzania
umekuwa kiasi cha asilimia 6.5
Tukiangalia katika maendeleo ya mkoa wa Kagera ambapo
maendeleo yake ya kiuchumi yanachangiwa na Viwanda Madini , Kilimo uvuvi ambapo
wakazi wake wameweza kupata ajira mbalimbali
Hata hivyo Wananchi
wan nchi hii, wanakabiliwa na tatizo kubwa la ajira ambapo inakadiliwa kuwa
watu wasio kuwa na kazi ni asilimia 17% ambapo
watanzania wanakadiliwa kuwa 44.9 milion
Maoni
Chapisha Maoni