Aston Villa 0-0 Man City

Amini usiamini Aston Villa wanapata alama moja muhimu kutoka kwa vinara wa ligi kuu ya Uingereza Manchester City.
City walikuwa na mazoea ya kuchukua pointi zote tatu lakini sasa Villa wamepata alama yao muhimu.
Na sasa wanavunja msururu wa kushindwa katika mechi 14.
Kipa wa Aston Villa analazimika kufanya kazi ya ziada kuwanyima Man City bao
Mpira umekwisha !
Mashambulizi yanachacha mbele ya lango la Aston Villa
Manchester United wanafanya mashambulizi makali mbele ya lango la Villa.
Loooooo
Mpira kombora la Vincent Kompany linagonga mchuma
Kona
Manchester City wanapata kona muhimu lakini wapi
86:17 Aston Villa 0-0 Man City
Kona kuelekea upande wa Manchester City
Joe Hart ndiye anayeipangua mpira wa kutupwa na inakuwa kona.
Aston Villa 0-0 Man City
86 :06
Charles N'Zogbia ameanguka chini baada ya kugongwa jicho kimakosa.
80 :00 Aston Villa 0-0 Man City
Ngome ya Villa leo imeimarika.Inaonekana kocha mpya Remi Garde ameanza kufanya mabadiliko yanayoonekana !
Dakika kumi ya mchezo zimesalia.
78:20 Badiliko Manchester City
Yaya Toure anaondoka na Fabian Delph anaingia.
Mashabiki hawafurahii wanamzomea
77 :00 Aston Villa 0-0 Man City
Jesus Navas anaboronga pasi safi kutoka kwake Kevin De Bruyne
64:48 Badiliko Aston Villa.
Charles N'Zogbia anachukua nafasi ya Carles Gil.
62:03 Free kick
Idrissa Gueye (Aston Villa)
59:49
Yaya Touré (Manchester City) anakosa nafasi ya kunga kwa kichwa
Mkwaju wake unapaa juu ya mlingoti
55:00 Aston Villa 0-0 Man City
Man City wanafanya wimbi baada ya wimbi la mashambulizi
Vijana wa Manuel Pellegrini wanaonekana kuwa na hamu ya kutafuta ushindi kuliko ilivyokuwa katika kipindi cha kwanza.
Kwa Upande wake Remi Garde, anafurahia matokeo yaliyo hadi sasa.
je vijana wake watastahimili mashambulizi haya ?
Kwa sasa inaonekana asilimia kubwa ya mchezo huu unachezwa katika nusu ya Aston Villa.
Aleksandar Kolarov anafuma mkwaju unaomtatatiza kipa wa Villa Brad Guzan
52:00 Aston Villa 0-0 Man City
Raheem Sterling anakosa nafasi nzuri ya kuiweka City mbele.
mkwaju wake wa kichwa unamgonga kipa wa Aston Villa.
50:00 Free kick
Nicolás Otamendi anaipatia (Manchester City) Freekick nje ya eneo la hatari.
50:00 Aston Villa 0-0 Man City

Raheem Sterling anakosa nafasi nzuri ya kuiweka City mbele
Manchester City wameshinda mechi 7 kati ya 8 walizocheza dhidi ya Aston Villa

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

HATARI: Wengi wanunua sabuni za dawa bila maelekezo ya wataalamu

Kibondo;Chuo cha Uuguzi kilichoko Wilayani Kibondo mkoani Kigoma kina kabiliwa na matatizo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukosefu wa miundo mbinu ya majengo fedha kwa ajili ya kuendeshea chuo hicho na ukosefu wa watumishi wakutosha hali inayopelekea kuathili ufundishaji