Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2017

Waumini wa Dini ya Kikristo hapa nchini wameungana na wenzao kote Duniani kuadhi,isha kuzaliwa kwa Mwokozi wao Yesu Kristo tukio linadaiwa kufanyika zaidi ya miaka 2000 iliyopita abapo leo viongozi mbalimbali wa Dini na serikali wakiwahasa wananchi kushereekea kwa Aman na tulivu

Picha
Waumini wa Dini ya Kikristo hapa nchini wameungana na wenzao kote Duniani kuadhi,isha kuzaliwa kwa Mwokozi wao Yesu Kristo tukio linadaiwa kufanyika zaidi ya miaka 2000 iliyopita abapo leo viongozi mbalimbali  wa Dini na serikali wakiwahasa wananchi kushereekea kwa Aman na tulivu Kwa hapa Tanzania Ibada zimefanyika kwenye makanisa mabilimbali  wakristo wakiadhimisha siku hiyo huku viongozi wa dini hizo wakiwahasa waumini wao kufuata maadili ya Muumba wao mara wanaposherhrkea  wakijua wapo watu wngi wanapenda kushereheka kwa amani na utulivu Mmoja wa Viongozi wa Dini katika Ibada Xmas iliyofanyika katika Kanisa la Evagelist Asemblies of God wilayani Kibondo Mkoani Kigoma Wandali Ndonka ameitaka Jamii na waumini wote wa kikristo kuacha kuazimisha siku hiyo kwa kufanya vurugu na kuhatarisha Amani  kwa kuwa si makusudi ya siku hiyo Nao Viongozi wa Jeshi la Polis wameendelea kutoa lai ya kwa kuwataka watu wote kusherehekea kwa amani kwani ni aibu wakristo ...

Waziri wa mambo ya ndani Mwingulu Nchemba amewataka Vijana wilayani ma kuungana pamoja katika kupiga vita rushwa katika kuunga mkono jitihada za Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.John Magufuli.

Picha
samson Hanga mkuu wa wilaya kigomaaliyemwakilisha Mwigiru Nchemba  Waziri wa Mambo ya ndani katika uzinduzi wa albam ya Kwaya Kanisa Anglikana Waziri wa mambo ya ndani Mwingulu Nchemba amewataka Vijana wilayani ma kuungana pamoja katika kupiga vita rushwa katika kuunga mkono jitihada za Raisi wa jamhuri ya  muungano wa Tanzania Dr.John Magufuli. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na wakazi wa wilaya kibondo Mkoa wa Kigoma  katika Uzinduzi wa  Mkanda wa nyimbo za Injili  Video anisa la Anglikani dayosisi ya kibondo mjini . Akimwakilisha waziri wa mambo ya ndani  mkuu wa wilaya ya kigoma .Samsoni Anga amesema watanzania wameteseka kwa kipindi kirefu katika swala la Rushwa na hivyo ni wakati ambao haina budi kila mmoja kuchukia rushwa na kupinga kwa hali ya juu. Aidha amelipongeza Kanisa hilo kwa malezi mema kwa vijana kwani maandalizi mema ya vizazi vijavyo Awali akisoma risala mbele ya mgeni rasmi mmoja wa Vijana wa ka...

Kibondo;Migogoro mingi na mikubwa yakugombania ardhi hapa nchini, imetajwa kusababishwa na uelewa ndogo kwa jamii juu ya matumizi na umiliki wa ardhi kwa kuzingatia utawala wa sheria

Picha
Washiriki wa semina juu sheria ya umiliki wa ardhi Nichoraus Ntiayagila mwanasheria Halmashauri ya Kibondo aliyekuwa mkufunzi katika semina hiyo Padre Andrea Kelemiye Parokia ya Mabamba Kibondo; Migogoro mingi na mikubwa yakugombania ardhi hapa nchini, imetajwa kusababishwa na uelewa ndogo kwa jamii juu ya matumizi na umiliki wa ardhi kwa kuzingatia utawala wa sheria Kutokana na hali hiyo, ili kuzuia na kupunguza malumbano katika jamii, Kanisa Katholic Jimbo la Kigoma jana    limeamu kutoa mafunzo kwa muda siku mbili kwa wenyeviti , Watendaji wa kata na vijiji ili waweze kufahamu sheria ya umiliki wa ardhi kama anavyoleza Padre Andrea Kalemiye kutoka Parokia ya Mabamba wilayani Kibondo ‘’Kumekuwepo   na migogoro ambayo haina sababu   na kupelekea watu kusababishiana madhala ya kuuwana na kuitilafiana kati ya Mtu na mwenzake Mtu na Taasisi hivyo tumeona tuweke mafunzo haya ili watu hasa viongozi wa Vijiji wafahamu jinsi ya kutatua migog...

Uvinza;Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma inakabiliwa na ukosefu wa hospitali ya wilaya hiyo jambo linalopelekea wananchi kusafiri umbali mrefu kutafuta matibabu katika hospitali nyingine ikiwemo hospitali ya rufaa ya mkoa huo - Maweni.

Picha
Uvinza; Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma inakabiliwa na ukosefu wa hospitali ya wilaya hiyo jambo linalopelekea wananchi  kusafiri umbali mrefu kutafuta matibabu katika hospitali ny ingine  ikiwemo hospitali ya rufaa ya mkoa huo - Maweni. Hayo yalibainishwa juzi na mkuu wa wilaya hiyo Mwanambua Mlindoko mara baada ya kupokea Vifaa tiba na Magodoro vyenye thamani ya milion 5 kutoka Benki ya NMB na kusema ukosefu wa huduma Bora za afya wilayani humo, bado ni changamoto kubwa na kwa serikali imejipanga kuhakisha inabiliana nazo haraka iwezekanavyo Alisema hivi sasa wanarekebisha Kituo cha Afya cha uvinza kwa kuongeza majengo na vifaa vingine ili kiweze kutumika kama Hospitali ya Wilaya, huku wakifanya maandalizi ya ujenzi wa hospitali ambapo wanataraji kuijenga katika eneo la Lugufu ambako walipata kiwanja kwa ajili ya kujenga hospitali hiyo. Kwa upande wake meneja wa NMB Tawi la Kigoma Joventus Lukonge alisema benki hiyo imeamua kutoa msahada huo ilik...

Uvinza;Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma inakabiliwa na ukosefu wa hospitali ya wilaya hiyo jambo linalopelekea wananchi kusafiri umbali mrefu kutafuta matibabu katika hospitali nyingine ikiwemo hospitali ya rufaa ya mkoa huo - Maweni.

Picha
  Uvinza; Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma inakabiliwa na ukosefu wa hospitali ya wilaya hiyo jambo linalopelekea wananchi  kusafiri umbali mrefu kutafuta matibabu katika hospitali nyingine  ikiwemo hospitali ya rufaa ya mkoa huo - Maweni. Hayo yalibainishwa juzi na mkuu wa wilaya hiyo Mwanambua Mlindoko mara baada ya kupokea Vifaa tiba na Magodoro vyenye thamani ya milion 5 kutoka Benki ya NMB na kusema ukosefu wa huduma Bora za afya wilayani humo, bado ni changamoto kubwa na kwa serikali imejipanga kuhakisha inabiliana nazo haraka iwezekanavyo Alisema hivi sasa wanarekebisha Kituo cha Afya cha uvinza kwa kuongeza majengo na vifaa vingine ili kiweze kutumika kama Hospitali ya Wilaya, huku wakifanya maandalizi ya ujenzi wa hospitali ambapo wanataraji kuijenga katika eneo la Lugufu ambako walipata kiwanja kwa ajili ya kujenga hospitali hiyo. Kwa upande wake meneja wa NMB Tawi la Kigoma Joventus Lukonge alisema benki hiyo imeamua kutoa msahada ...

Morogoro;Takwimu zinaonyeshaTanzania bado inakabiliwa na kiwango cha juu cha ukatili wa kijinsia ikiwemo ndoa na mimba za utotoni, pamoja na vipigo kwa wanawake kutoka kwa waume zao licha ya juhudi mbali mbali za kupinga hatua hiyo na sheria kali kutungwa bado matukio ya aina hii yanazidi kuongezeka.

Picha
Morogoro; Takwimu zinaonyeshaTanzania bado inakabiliwa na kiwango cha juu cha ukatili wa kijinsia ikiwemo ndoa na mimba za utotoni, pamoja na vipigo kwa wanawake kutoka kwa waume zao licha ya juhudi mbali mbali za kupinga hatua hiyo na sheria kali kutungwa bado matukio ya aina hii yanazidi kuongezeka. Utafiti wa hali ya afya ya uzazi,mtoto na malaria wa mwaka 2015/2016 unaonesha kuwa idadi ya wasichana wanaopata watoto katika umri wa miaka 15-19 imeongezeka mpaka kufikia asilimia 27 mwaka 2015 kutoka asilimia 23 mwaka 2016 Vitendo vya ukatili wa kijinsia hapa nchini vinatajwa kuendelea kuwepo licha ya juhudi nyingi za kupiga vita vitendo hivyo kutiliwa mkazo ikiwa ni pamoja na mashirika mbalimbali na serikalia kwa ujumla hasa kusababishwa na uelewa mdogo katika jamii kufichua vitendo hivyo     Baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa licha kuendelea kuwepo kwa vitendo hivyo, Tanzania bado iko katika nafasi nzuri ya kupiga vita ukatili huo ka...

Tatizo la ugonjwa wa Malaria linaloonekana kuwa moja ya sabababu za kupunguza nguvu kazi ya Taifa jamii imetakiwa kushirikiana bega kwa bega na serikali ili kuutokomeza ugonjwa huo hasa kwa kuharibu maeneo ya mazalia ya Mbu na katika makazi ya watu

Picha
Mkuu  wa wilaya ya Kibondo Luis Bura akinyunyizia dawa ya kuuwa Vimelea vya Malaria katika Bwawa kufugia samaki katika Kijiji cha Biturana Juma Mnwele mkurugenzi Halmashauri ya Kibondo Raya Chamabali mratibu Kitengo cha Malaria W Kibondo Tatizo la ugonjwa wa Malaria linaloonekana kuwa moja ya sabababu za kupunguza nguvu kazi ya Taifa jamii imetakiwa kushirikiana bega kwa bega na serikali ili kuutokomeza ugonjwa huo hasa kwa kuharibu maeneo ya mazalia ya Mbu na katika makazi ya watu Takwimu za   Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto zinaonyesha hali ya maambukizi na vifo vitokanavyo na ugonjwa wa malaria imepungua kutoka asilimia 90 ya maeneo yenye mbu  hadi kufikia  asilimia 50  ya walioambukizwa  malaria tangu 2000 hadi 2017. Aidha takwimu hizo zimebainisha kuwa, mikoa ya kanda ya ziwa ikiwemo Kagera na Geita  na mikoa ya Nyanda za juu Kusini ambayo ni Mtwara na Lindi ndiyo inayoongoza...

Waumini wa Dini ya Kikristo na jamii kwa ujumla wametakiwa kufuata maadili ya mwenyezi Mungu kwa kuwa na upendo na kuwajali wengine ikiwa ni pamoja na familia na wote wasiyojiweza na kuondoa matabaka na kuhamsishana kufanya kazi

Picha
Waumini wa Dini ya Kikristo na jamii kwa ujumla wametakiwa kufuata maadili ya mwenyezi Mungu  kwa kuwa na upendo na kuwajali wengine ikiwa ni pamoja na familia na wote wasiyojiweza na kuondoa matabaka na kuhamsishana kufanya kazi Wito huo umetolewa na Padre Simon Libeio ambaye ni Paroko wa Parokia ya Kalinzi Kigoma wakati wa Ibaada maalum iliyofanyika Parokia ya Mabamba Kimbondo kwa ajili ya  Watawa wa Kike waliopata Daraja hilo ambapo amesema jamii nyingi hapa nchi zimepungukiwa upendo wa kumpenda Mungu na wanadamu ahli inayopelekea watu wengi kutojali familia na kuzama katika mambo ya utandawazi Simon ameongeza kuwa Wazazi wengi wameacha wajibu wao wa malezi  kwa watoto hali inayopelekea kuwa na kizazi kisichokuwa na maadili hapo baadae huku baadhi ya waumini walioshiriki Ibada hiyo wakieleza kuwa kinachopelekea kuwepo hali hiyo ni ukosefu wa Imani na kutoka kufanya kazi ya kuongeza kipato cha familia na kupelekea umoja kutoweka H...

Kibondo;Wanaufaika wa mpango wa kunusulu kaya masikini kupitia Tasaf wametakiwa kujitathimini tangu wameanza kupokea fedha mpango huo ni mambo gani waliyoyafanya kulingana na malengo ya serikali ya kuhakikisha wanapiga hatua moja hadi nyinginewaka

Picha
Wanufaika wa mpango wa kunusulu kaya masikini Luis Bura mkuu wa wilaya kibondo Beatrice Joseph mwezeshaji Tasaf Kibondo John Makunja kaimu mratibu Tasaf Kibondo Kibondo; Wanaufaika wa mpango wa kusulu kaya masikini kupitia Tasaf wametakiwa kujitathimini tangu wameanza kupokea fedha mpango huo ni mambo  gani waliyoyafanya kulingana na malengo ya serikali ya kuhakikisha wanapiga hatua moja hadi nyingine Hayo ameyasema Mkuu wa wilaya Kibondo Mkoani Kigoma Luis Bura wakati zoezi la ugawaji fedha kwa walengwa wa mpango huo ambapo alisema hivi sasa awamu ya kwanza inaelekea ukingoni ili watoke na wengine waingie na kunuaika Alisema kwa wale ambao hawakuanikiwa kufikia malengo yao bado hawajachelewa kwa kipindi kilichobaki  hivyo wanatakiwa kuwa makini kwakuzitumia vema pesa hizo John Makunja yeye ni kaimu mratibu wa Tasafu Kibondo amesema tatizo la watu waliokwama kufikia lengo si kubwa sana lakini wamekuwa wakiendelea kuwaelekeza namna ya...