KAKONKO WAIPONGEZA SERIKALI KUPITIA JWTZ KURUDISHA MWASILIANO YALIYOHARIBIWA NA MAFURIKO
Stephan Ndaki Mkurugenzi Mtendaji Hshauri ya Kakonko Gerad Baseke Mkuu wa Shule Ikambi Sekondari Kanali Evance Malasa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko alipokuwa akiongea na Wananchi wakati wa uzinduzi wa Daraja jipya lililojengwa baada ya Mvua kuharibu Miundombinu Mto wa Muwazi KAKONKO WAIPONGEZA SERIKALI KUPITIA JWTZ KURUDISHA MWASILIANO YALIYOHARIBIWA NA MAFURIKO Na Muhingo Mwemezi Kakonko Kakonko Wakazi wa Vijiji vya Kakonko, Itumbiko na Ikambi Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma wameipongeza serikali kupitia Jeshi la Wananchi Tanzania kwa kurudisha mawasiliano ya Barabara yalikatika kutokana na mafuriko yayaliyotokea April Mwaka huu kusababisha wanafunzi kwenda shule na wakulima Wakiwa kwenye uzinduzi wa Daraja lililojengwa kwa msaada wa JWTZ uliofanyika kwenye kijiji cha Itumbiko wamesema mvua hiyo iliwasababishia hasara kubwa pale waliposhindwa kufika mashambani na kwenda kupata matibabu baada ya barabara kukatika Wamesema mara maji yalipozuia njia ...