BIL 234.5 KUUFUNGUA MKOA WA MTWARA KWA BARABARA ZA LAMI

Makame Mbalawa Waziri wa Ujenzi





 

BIL 234.5 KUUFUNGUA MKOA WA MTWARA KWA BARABARA ZA LAMI

 

SerikaliimesainimikatabamiwiliyakuanzaujenziwabarabarayaMnivata – Newala – Masasi (km 160) pamojanaujenziwadaraja la MwitiyenyejumlayashilingiBilioni 234.512 kwalengo la kuwaondoleawananchiwaMtwarakeroyausafirinausafirishaji.

 

TukiohilolimefanyikawilayaniNewalamkoanihumoambapolimeshuhudiwana Waziri waUjenzinaUchukuzi Prof. MakameMbarawanaviongoziwenginewamkoa, wabungenawananchiambapopamojana mambo mengine Prof. MbarawaamesemakuwaujenziwabarabarahiyoutaboreshamtandaowabarabaranamadarajakatikaukandawaKusini. 

 

Akizungumza  nawananchiwamkoahuowakatiwa  haflahiyo,  Prof. Mbarawa

ameelezakuwabarabarahiyoitaboreshausafirinausafirishajiwamalighafizaviwandanikamamakaayamawenasaruji, mazaoyachakulanakilimo, mifugo, uvuvi, bidhaazakibiasharanamazaoyamisitukutokamaeneombalimbaliyamkoawaMtwarapamojanamikoajiraniyaLindi, Ruvuma naPwanikwendamaeneombalimbalinchini.

 

Aidha,  Prof.Mbarawa, amewaasawananchiwaMtwarakutoaushirikianokwamakandarasi  waliopatakaziyaujenziwabarabarahiyopamojanakujiepushanavitendovyauhalifukatikamiradihiyo.

 

"Hakikisheni  mnatoaushirikianokwavijanamtakaopatakazikatikamradihuu,  muachetabiayawiziwavifaa, mkifanyahivimtasababishamiradikukamilikakwawakati",  amesema Prof. Mbarawa.

  

Waziri Prof. MbarawaameahidikuendeleakuufunguamkoawaMtwarakwakuunganishamkoawaLindi  namikoajiranikwabarabarazalamipamaojanaujenziwarelinabandari.

 

"NimepokeamaombiyabarabarambalimbaliikiwemoyakuunganishakwalamibarabarayaNewala-Mtama, Mtama-Tandahimba, Mtwara-Kilambo, Newala - Mbuyuniambapofedhazimetengwanaupembuziyakinifunausianifuwa kina unaendelea", amefafanua Prof. Mbarawa. 

 

NayeMkuuwaMkoawaMtwaraKanali Ahmed Abbas, amesemautekelezajiwamradihuounaunganishawilayazotezamkoahuonahivyokutaimarishashughulizakiuchuminakijamiinakupunguzagharamazamaishakwamwananchimmojammoja. 

 

Awaliakitoataarifayamradihuo, MtendajiMkuuwa TANROADS, Eng. Mohamed Besta, amesemakuwaMikatabahiyoimesainiwakatiyaMtendajiMkuuwaWakalawaBarabara (TANROADS), naKampuniya China Wu Yi Co. Ltd sehemuyakutokaMnivata-Mitesa (Km 100), kwagharamayaShilingiBilioni 141.964 naKampuniya China Communications Construction Co. Ltd  atakayejengasehemuya pili kutokaMitesa-Masasi (km 60) pamojanaujenziwadaraja la MwitikwagharamayaShilingiBilioni 92.548. 

 

Eng. BestaameahidikuwaWakalautasimamiavyemawakandarasihaokukamilishabarabarahiyokwaviwangovyaubora. 

 

Pia ameongezakuwamradihuoutakuwanamiradiyanyongezakwajamiiambapowakandarasiwatajengaZahanati, Stendi, Shule, Maghalayakuhifadhiamazao, MagariyaWagonjwanaununuziwa X-Ray.

 

UjenziwabarabarayaMtwara-Newala-Masasi (km 160) nimojayamkakatinwaSerikaliwakuboreshamtandaowabarabarahapanchininanikiungomuhimukwabarabarakuuyakutokaMtwarampakaMbamba bay inayojulikanakamaUshorobawaMtwara (Mtwara corridor) ambayoinaunganishananchijiraniyaMsumbiji.

 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

HATARI: Wengi wanunua sabuni za dawa bila maelekezo ya wataalamu

Wazazi timizeni wajibu wenu katika Malezi ili Watoto wenu wafikie Ndoto zao