TAASISI ZAASWA KUZINGATIA MAZINGIRA ZIWA VIKTORIA
TAASISI ZAASWA KUZINGATIA MAZINGIRA ZIWA VIKTORIA
Serikaliimezitakataasisizinazoshughulikanamasualayabahari,
ViongoziwaMikoainayozungukaZiwa Viktoria nawadauwenginehususani
Mwanzakuhakikishakunakuwanamazingira bora kwaajiliyautunzajinauteketezajiwa
taka ngumuzitakazozalishwakatikaZiwahiloilikutoathiriviumbehaiziwani.
Kaulihiyoimetolewajijini
Mwanza naKaimuMkuuwaMkoawa Mwanza ambaye pia niMkuuwa Wilaya
yaIlemelaMhe.Hassan Masala wakatiwaakihitimishamaoneshoya siku yanne (4) yaMabahariaDunianiyaliyofanyikajijinihumoyaliyoshirikaWizarahusikakwaSerikaliyaJamhuriyaMuunganowa
Tanzania naSerikaliyaMapinduzi Zanzibar
pamojanataasisimahususizinazosimamiamasualayabahari.
Mhe. Masala
amesisitizakuwauwekezajiunaofanywanaSerikalinaSektabinafsihususanikwenyeujenziwameliutaongezauzalishajiwa
taka ngumuambapobilakujipangamapemavyombovyamajinivinawezakuwanachangamoto za
kuharibika mara kwa mara nahivyokuhafifishauwekezajihuo.
“Mikatabambalimbaliyakimataifainayoongozausafiriwamajiniunasisitizaumuhimuwakutunzamazingiranaikumbukwekuwamikatabahiyoyakimataifasisikamanchitumeridhianakuiwekakulingananamazingirayetuhivyohatuwezikukwepakutunzamazingirailikunusuruviumbewenginewalinjeyanchikavu’
AmesemaMkuuwa Wilaya Mhe. Massala.
Mhe.
MassalaamesemaSerikaliinaendeleakujengamazingiramazurikwamabahariawanaohitimukwakuzungumzanamashirikambalimbaliyameliilikuwawezeshawataalam
hao kupatasifastahikizitakazowawezshakufanyakazindaninanjeyanchi.
Kwa upande wake
MkurugenziwaIdarayaUsalamanaMazingira, Bi. Stela KatondoamesemaWizarakupitiachuo
cha Bahari Dar es Salaam (DMI)
inaendeleakuboreshamitaalanakuongezakozimbalimbaliilikukidhimahitajiyasoko la
ndaninanjehususanikwenyesektayabahari.
MkurugenziKatondoameongezakuwaSerikaliinaendeleakutengafedhakilamwakailikuboreshamiundombinuya
bandari, kujenganakukarabatimeliilikuifanyasektahiyokuchagizauchumiwataifakupitiasektahiyoyabaharikwabaharinaMaziwayaliyoponchini.
Maadhimishoya siku
yamahariahuadhimishwamweziJunikilamwakaambapo kwamwaka 2023maadhimishohayoyamebebakaulimbiuya
“Miaka 50 ya MARPOL uwajibikajiwetuunaendelea” nayamehusishamazoezimbalimbaliyauokozikatikaziwaviktorianautoajiwaelimuyamasualambalimbaliyakuzingatiakwawadaumbalimbaliwakiwemowamilikiwa
meli, watumiajinawaendeshajimeli.
Maoni
Chapisha Maoni