BARABARA ZA EPC+ F HAZITALIPIWA
BARAB
ARA ZA EPC+ F HAZITALIPIWA
Serikaliimesemakuwautekelezajiwamiradisabayaujenziwabarabarakwanjiaya EPC+ F haitalipiwanawananchiwatakaotumiabarabarahizokamaambavyobaadhiyawananchiwanavyodhani.
Kaulihiyoimetolewajijini
Dodoma na WaziriwaUjenzinaUchukuziProfesaMakameMbarawa,wakatiwautiajisainiwamiradihiyoambayoinatarajiwakutekelezwakatika
Kanda zaKaskazininaKusininakujengwanamakandarasiwanne (4).
“Tanzania hainabarabarazakulipiampakasasa,
hivyoupotoshajiunaosambaakwenyemitandaoyakijamiikuhusukulipiakwenyebarabarahizisisahihikwanibarabarahizinizakawaida
‘high way’ kamazilivyobarabaranyingine” amesemaProf. Mbarawa.
Prof. Mbarawaamesisitizakuwamradihuuniwa
kwanza namkubwakutekelezwanchinikwaniutapitakatikamikoa 13nalengolikiwanikuboreshamtandaowabarabaranchininakuongezaufanisikatikasektayausafirinausafirishajiilikuchocheauzalishajikatikamaeneozinapopitabarabarahizinakuongezakasiyaukuajiwauchumiwawananchinaTaifakwaujumla.
“BarabarazitazojengwazitapitakatikamikoayaMorogoro,
Ruvuma, Arusha, Manyara, Dodoma, Tanga, Singida, Mbeya, Songwe, Lindi, Mtwara,
Simiyuna Iringa nahivyozitarahisishausafiriwawananchinausafirishajiwamazaoyamisitu,biashara,
chakula, uvuvinaufugaji, malighafizamadinikama vile makaayamawe,
grafaitinaChuma”, amefafanua Waziri Mbarawa.
Aidha, Prof. MbarawaametajamiradiitakayotekelezwakuwaniujenziwabarabarayaKidatu - Ifakara - Lupiro - Malinyi
- Kilosa Mpepo - Londo - Lumecha/Songea (km 435.8), BarabarayaArusha – Kibaya – Kongwa (km 453.42),
Handeni - Kiberashi - Kijingu - Njoro -
Olboroti Mrijo Chini - Dalai - Chambalo - Chemba - Kwa Mtoro – Singida (km
384.33), Igawa - Songwe – Tunduma (km
237.9), Masasi - Nachingwea - Liwale (km
175), Karatu - Mbulu - Hydom - Sibiti River - Lalago – Maswa (km 339)nabarabara ya Mafinga - Mtwango –
Mgololo (km 81).
“Katika ujenzi wa barabara ya Igawa – Tunduma mkoani Mbeya Serikali imeamua
kuijenga kwa njia nne ambapo barabara moja kati ya hizo itatumiwa na wasafirishaji
wa malori tu ili kupunguza msongamano wa magari uliopo sasa katika eneo la
Tunduma”, amefafanua Prof. Mbarawa.
Prof. Mbarawa amebainisha faida nyingine ya utekelezaji wa miradi hiyo
ikiwemokuchochea kiu ya matumizi ya bandari zetu kwa nchi jirani za Zambia,
Malawi, Zimbabwe, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudani ya Kusini na Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Pia ametaja kuwa barabara hizozitatoa ajira za moja kwa moja kwa watanzania
takriban 20,300 pamoja na kuwajengea uwezo wahitimu wa vyuo vikuu kwa masharti
ya mikataba ya ujenzi na usimamizi ambapo wahitimu wasiopungua 70 watapata
ajira.
Prof. Mbarawa ameiagiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushirikiana na Bodi ya Usajili ya
Makandarasi (CRB) kuandaa wahandisi washauri wazawa watakaokuwa na uwezo na
weledi wa kusimamia miradi mbalimbali ya ujenzi inayotekelezwa nchini.
Awaliakitoataarifayamiradihiyo,MtendajiMkuuwa
TANROADSMhandisi Mohamed Besta,ameelezakuwajumlayamakandarasi 129
walioneshaniaambapomchakatowazabuniulipitiahatuambalimbalinahatimayemakandarasiwannewalikidhivigezovilivyowekwa.
“Makandarasiwatakuwatimunnekwakilamradimkubwaambaposehemuzotezitaanzakutekelezwasambambakwawakatimmojailikuharakishautekelezajiwamiradihii”“amesisitizaMha.
Besta.
Ameongezakuwakupitiautaratibuhuomakandarasiwatawajibikakufanyausanifuwa
kina nakujengabarabarahizokwaviwangonauboraulioainishakwenyemkatabanahukuvihatarishivyotevinavyohusuusanifuwamradinamudawaujenzivitabebwanamkandarasi.
Kwa upande wake,
MwenyekitiwaKamatiyaKudumuyaBunge yaMiundombinu, Mhe.SelemaniKakoso, amesemakuwakwamaraya
kwanza Tanzania inaandikahistoriayakujengabarabara (Km 2,035)
kwamaramojawakatihapoawaliSerikaliilikuwainajengaKilometa 200 hadi 250
kwamwaka.
Utiajisainiwamikataba
Saba yamiradiyaujenziwaBarabaraumefanywanaSerikalikupitia TANROADS naKampuniya
China Civil Engineering Construction (CCECC), Sinohydro Cooperation, China
Overseas Engineering Group (COVEC) na China Railway 15th GroupkwagharamayaTrioni3.7.
Maoni
Chapisha Maoni