Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2024

Samia atoa msaada kwa Watoto wenye mahitaji maalum

Picha
Kanal Evance Malasa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kibondo alipokuwa akiwahutubia Wageni kwenye hafla ya kukabidhi zawadi zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya Watoto wenye Mahitaji Maalum katika Shule ya Msingi Nengo iliyoko Kibondo Mkoani Kigoma Hapa Dc Malasa akikabidhi zawadi hizo kwa Watoto wenye Mahitaji Maalum Baadhi ya Zawadi zilizotolewa Jesca Andason akitoa shukrania kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu Hassani  Ibrahimu Masumbuko Mwl Mkuu shule ya Msingi Nengo Elimu Jumuishi Samia atoa msaada kwa Watoto wenye mahitaji maalum Muhingo Mwemezi Kibondo Watoto wenye Mahitaji maalum wanaoishi kwenye Nyumba maalum za kuwahifadhi watoto hao, wanahitaji faraja kutoka kwenye jamii kwani nao wanauhitaji haki kama Binadamu wengineambapo jamii imetakiwa kuendelea kujitoa kwa hali na mali kusaidia makundi hayo hapa nchini Suala la ulinzi wa Watoto hao linaihusu jamii yote kwani unyanyasaji dhidi yao, unaanzia ngazi ya familia hivyo kila mmoja anatakiwa kutoa taa...

KASEKENYA AWATAKA VIJANA ILEJE KUJIKITA KWENYE MICHEZO

Picha
  KASEKENYA AWATAKA VIJANA ILEJE KUJIKITA KWENYE MICHEZO Naibu Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Ileje, Mhandisi, Godfrey Kasekenya amewataka vijana Wilayani Ileje, mkoani Songwe kujikita kwenye michezo na kutumia fursa ya mashindano ya kombe la Kasekenya kuimarisha afya, ushirikiano na kukuza vipaji. Akizindua Bonanza la kuhamasisha michezo Wilayani huko, Mbunge Kasekenya amesema wilaya hiyo imedhamiria kuwekeza kwenye michezo ili kukuza vipaji vya vijana na kuwawezesha kupata ajira. "Mashindano haya yatumike kama chachu ya kuhamasishana kufanya kazi kwa bidii na kukuza vipaji kwani michezo ni ajira, afya na urafiki", amesema Mhandisi, Kasekenya. Aidha, Kasekenya amesema kuwa Mashindano hayo pamoja na mambo mengine yanahamasisha wananchi kujiandikisha kupiga kura, kugombea na kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa Novemba 27 mwaka huu. Amefafanua kuwa Bonanza hilo ambalo ni uzinduzi wa Kasekenya Cup limekutanisha timu za mpira wa miguu wanaume na wanawake, vikundi v...

WALIMU ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAOEA ILI KUBORESHA ELIMU

Picha
  WALIMU ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAOEA ILI KUBORESHA ELIMU Kibondo.Katika kurekebisha upatikanaji wa elimu hapa nchini walimu wamehaswa kuacha tabia ya kufanya kazi kwa mazoea   ili kufikia malengo ya serikali na kuwapatia Watoto ujuzi Hayo ameyasema na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi upande wa Elimu Charles Msonde alipokuwa akizungumza na Walimu wa shule za Msingi na sekondari wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ambapo amesema Mkoa huo uko kiwango cha chini kielimu kutokana na ufundishaji usiozingatia vigezo Amesema kila mwalimua anatakiwa kujipima utendaji wake wa kazi kwa kuwasaidia wanafunzi na kuwataka kuacha mazoea kazini            Aidha Msonde ameeleza kusikitishwa kwake juu ya halimu ya elimu ilivyo wanafunzi shule za Msingi wanapanda Madarasa wakiwa hawajui kusoma wala kuandika huku walimu katika shule zinazomilikiwa na serikali wakiona ni mambo ya kaiwada na kuwahasa kuchukua hatua ‘’Wanafunzi katka shu...

KIBONDO KUUNDA SHERIA NDOGO KATIKA UCHANGIAJI WA CHAKULA MASHULENI

Picha
  Gabriel Chitupila Kaimu Mkurugenzi Hshauri Kibondo Jacklin Sospeter Afisa Lishe wilaya ya Kibondo Baadhi ya washiriki wa Kikao cha Kamati ya Lishe wilayani Kibondo waliokuwa wakitathmin hali ya Lishe wilayani Kibondo KIBONDO KUUNDA SHERIA NDOGO KATIKA UCHANGIAJI WA CHAKULA MASHULENI Licha ya hamasa na elimu kuendelea kutolewa kwa jamii juu ya uuchangiaji chakula mashuleni ili wanafunzi wapate chakula cha mchana Wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma, hatua hiyo bado ni kizungumkuti kutokana na baadhi ya wazazi na walezi kushindwa kutoa michango ya chakula na wanafunzi kushinda njaa Baadhi ya wanafunzi wanapata chakula cha mchana na uji   saa nne kutokana na wazazi wao kuchangia huku wengine wakishinda njaa mashuleni kutokana na wazazi na walezi kushindwa kutoa michango ya chakula Wanafunzi akiwemo Abdukarim Ramadhani na Jesca Reuben chakula wala uji ambao hawapati wamesema wanakumbana na wakati mgumu mara inapofika nyakati za mchana kutoka na kuhisi njaa ambapo usinzia na kus...

CHANGAMOTO WANAFUNZI WANAOACHA SHULE

Picha
  Muhingo Mwemezi Kigoma Kigoma. Licha ya uwepo wa maendeleo ya upatikanaji wa Elimu hapa nchini katika shule za Msingi na sekondari bado    tatizo la Wanafunzi kushindwa kumaliza shule   ni kubwa na linaendelea kutokana na saababu mbalimbali na kupelekea Watoto kukosa haki za Msingi Changamoto hiyo haina budi kutiliwa mkazo ikiwa ni pamoja na jamii   Wazazi na Walezi kote nchini kuendelea kuhimizwa na kuelimishwa kutambua umuhimu wa Elimu, ambapo makundi ya rika barehe kuanzia miaka 9 hadi 15 ndiyo wahanga wakubwa Tatizo hilo linachangiwa na sababu mbalimbali kama Umasikini Umbali wa kutoka katika maeneo ya Makazi kwenda kwenye huduma za shule hatua ambayo hupelekea Watoto wengi kukata tamaa   wakati mwingine kukumbwa na Vitendo kikatili mfano Takwimu za mwaka 2022 Mkoa wa Kigoma ulipata nafasi ya 8 Takwimu hizo zinaonyesha   Mkoa huo una Watoto waliokatisha masomo 10,355   wa shule za Msingi na ulikuwa   wa   na 17   kwa kuw...
Picha
VIJANA JIAMININI NA MUWE NA MOYO WA KUFANYA KAZI Meja Generali Hawa Kodi aliyemwakilisha Mkuu wa Majeshi Kikosini Kanembwa Luteni Kanali Mantange Kombe Kamanda Kikosi 824 Kanembwa Kanali Evance Malasa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Mgeni rasmi Janeth Alex Mmoja wa Wahitimu mafunzo ya awali ya Kijeshi Kanembwa Kakonko. Vijana wametakiwa kujiamini na kuwa na moyo wa kupenda kufanya kazi na kuwa tayari kulitumikia Taifa ili kuwa na Taifa lenye  ustawi mzuri   Akiwahutubia Vijana waliokuwa wanahitimu Mafunzo ya awali ya Kijeshi vijana wa kujitolea katika Jeshi la kujenga Taifa Kikosi cha 824 Kanembwa kilichoko Kakonko Mkoani Kigoma mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi katika Mahafali hayo, Meja Generali Hawa Kodi amesema Vijana ni Taifa la leo na kesho  hivyo wana wajibu wa kujituma na kuheshimu maamuzi yao na kuzingatia Nidhamu   Adha ameongeza kuwa Vijana katika kujiunga na Jeshi la kujenga Taifa, walitoka kwenye maeneo mbalimbali hapa nchi na elimu,Makabila,Malezi na uel...

Misri wavutiwa na miradi ya PPP ya TANROADS

Picha
  Misri wavutiwa na miradi ya PPP ya TANROADS   BALOZI wa Misri nchini Tanzania, Sherif Abdelhamid amevutiwa na miradi itayojengwa kwa ubia wa kati ya sekta binafsi na umma (PPP) itakayokuwa chini ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imeelezwa. Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Mohamed Besta amesema hayo jana mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo na Balozi huyo yaliyofanyika Makao Makuu ya TANROADS jijini Dar es Salaam. Mha. Besta amesema Balozi huyo ameahidi kushiriki fursa zinazopatikana kwenye miradi ya TANROADS na ameonesha dhamira ya makampuni ya Misri kuja kushiriki kwenye miradi ya PPP, ikiwemo ya barabara ya kulipia ya kutoka Kibaha, Chalinze hadi Morogoro; na Barabara za Mzunguko za Jiji la Dar es Salaam (Dar es Salaam Outer Ring Roads). Miradi mingine ya PPP ni Daraja la Pili la Kigamboni; Barabara ya kulipia ya kutoka Morogoro hadi Dodoma na barabara ya kutoka Igawa hadi Tunduma. “Kama alivyosema hizi ni mojawapo ya fursa na u zoefu wa Kimatai...

DHAMIRA YA SERIKALI NI KUKUZA UCHUMI WA SEKTA BINAFSI KWA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI: BASHUNGWA

Picha
  DHAMIRA YA SERIKALI NI KUKUZA UCHUMI WA SEKTA BINAFSI KWA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi naMbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwaameeleza kuwa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sitanikukuzauchumi wa Sekta binafsi inayochangiamakusanyo ya kodiambazozitawezeshaujenzi wa miundombinu ya barabara nautekelezaji wa miradimingine ya maendeleonchini. Bashungwaamezungumza hayo Machi 27, 2024 katika kikaokilichowakutanishawafanyabiashara wa Wilaya ya Karagwe pamoja naTaasisi za Serikalizinazowahudumiaambapoamesikilizakerozaoikiwemotozokubwa za kodi, ushuru pamoja nakaulizisizoridhishakutoka kwa Maafisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA). Bashungwaamesisitiza kuwa ukusanyaji wa mapatounawezeshaSerikalikufanikishamalengoyake ya kuhudumianchi pamoja nawananchi wake kwa haraka kwa kuwa wajibu wa Serikalinikujengaustawi wa wafanyabiasharana sio kuwadumaza. “Sijafurahishwanamadai ya kauli za Maafisa kwa wafanyabiasharaambazo sio sahihi,kwakuwaaambiawakishindwakulipakod...