DC KIBONDO AWATAKA WATENDAJI WA KATA KUTUMIA SHERIA NA MIONGOZO KUHAMASISHA WAZAZI KUCHANGIA CHAKULA MASHULENI

![]() |
| Aggrey Magwaza Mkuu wa Wilaya ya Kibondo |
Steeven Janks Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Kibondo
Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma kanali Mstaafu Agrey Magwaza amewataka watendaji wa Kata kusimamia vyema suala la uchangiaji wa chakula Cha watoto mashuleni ambapo pia amewaelekeza kutumia Sheria Kwa wazazi ambapo wanakaidi maelekezo Ameyasema hayo mara baada ya kupokea taarifa za tathimini ya utekelezaji wa hali ya lishe Kwa watoto mashuleni ambapo amesema licha ya watendaji hao kutoa taarifa hizo watoto wanaopata chakula bado ni wachache ikilinganishwa na idadi ya wanafunzi waliopo katika shule za Kibondo Nao baadhi ya watendaji Nasibu Nasinu Fundi Hamiswamesema mwitikio mdogo wa wazazi umesababisha watoto wengi kushindwa kupata chakula huku baadhi ya Wazazi wakitoa sababu mbalimbali ukiwemo uchumi mdogo katika familia huku Watoto shule za Msingi ambao ni Kagina Jiles na Kassim Husein, wakieleza kuwa wanapata adha kubwa kutomsikiliza Mwalimu kutokana na kukosa chakula Wanafunzi wa shule za Sendari ndiyo wanaopata chakula kwa asilimia kubwa nao wengi wao ni Madarasa ya mitihani kidatocha pili na cha nne ambapo baadhi ya Walimu Samweli Philipo na Godfray Aidani, wakieleza changamoto wanazopata katika ufundishaji pale watoto wanapokosa chakula cha mchana kuwa Wanafunzi haweze kumsikiliza Mwalimu na baadae Walimu hulaumiwa kuwa hawafundishi ipasavyo Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Kibondo Stivin Janks akielekeza kwa kuwataka Watendaji kuhakikisha Wanafunzi wote mashuleni wanapata chakula Kwau pande wake afisa lishe wilaya ya Kibondo Halfani Maliki amesema kunaumuhimu mkuu wa wa mtoto kupata chakula wakati wa masomo huku akiwa


Maoni
Chapisha Maoni