KUPINGA MAJARIBIO YA SILAHA ZA NYUKLIA DUNIANI
Silaha za a nyuklia
ni silaha zinazosababisha madhala makubwa sana, kati ya silaha zote, hilo n ibomu
lenye nguvu na pia lenye hatari zaidi, kuna mataifa yenye uwezo mkubwa wa
silaha hatari za nyuklia ulimwenguni na kuwa tishio kubwa.
Ikumbukwe kuwa Bomu hilo hapo awali lilikuwa linaitwa Scud na lilitengenezwa
1943 na Mtu mmoja Raia wa Israel aliyejulikana kwa Jina la Alberth Instain na baadae
Bomu hilo liliboreshwa kutoka R 9 Scud-
B kuwa Atomic Julai 12 1945 huko nchini Marekani kupitia
Mradi wa Marnhata.
Silaha hizo zilitumika kwa Mara ya Kwanza katika Vita kuu ya
pili ya Dunia mnamo Agost 6,1945 Marekani iliporusha bomu hiro katika Mji wa Nagasaki nchini Japani na kuuwa
Watu laki 1 na wengine laki 1 na 30 walifariki baadae kutokanana kupata
Majeraha makubwa
Siku tatu baadae, Bomu hilo Atomic lilirushwa katika Mji wa
Hiroshima nchini Japani Agost 9, 1945 na kusababisha madhala ambayo yanaendelea
hadi leo katika maeneo hayo
Wiki tatu baada ya mashambulizi ya Japani, baada ya Atomic
kurutubishwa kuwa Nyuklia, Marekani ilifanya jaribio lake la kwanza la Nyuklia
katika Jimbo la New York kazi iliyopewa jina la siri la Trinity, jaribio
lilisababisha Mlipuko mkubwa na kuleta madhala ya kibinadamu kwa Watu waliokuwa
wanaendelea na shughuli zao katika maeneo ya jirani na hatua hiyo iliendelea kuleta
athari kwa Watu hadi leo, kutokana na hali hiyo, kila tar 29, Agost kila mwaka
ni siku ya kupinga majaribio ya Nyuklia hatua inayolenga kuondoa vitisho na
kuuweka ulimwengu katika hali salama
Kwa kuachilia hewani Mistuni na Baharini Mabomu hayo, usambaza
Sumu kali ambayo usababisha Majanga
mbalimbali kama Sarani na Magonjwa ya kudumu na tangu 1945
yameshafanyika majaribio 2,000 hadi sasa tatizo kubwa si silaha hizo bali
wamiliki kutokana na tabia zao huruka, wakifikiriwa kuwa huenda Mtu akatumia
silaha hizo kusababisha madhala ya kibinadamu kutokana na mitazamo
Kwa njia hiyo kila tarehe 29 ya kila mwaka ni Siku ya
Kimataifa Dhidi ya Majaribio ya Nyuklia. Katika taarifa
inabainisha kuwa Mkataba wa kimataifa wa kupinga majaribio ya silaha za
nyuklia, CTBT, haujaweza kuanza kutumika kwa sababu idadi ya nchi zinazopaswa
kuridhia ili uweze kuanza kutumika bado haijatimia.
Mkataba huo ulipitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
tarehe 10 mwezi Septemba mwaka 1996, na kutiwa saini tarehe 24 mwezi huo huo wa
Septemba mwaka 1996. Ingawa hivyo hadi sasa haujaanza kutumika ukisubiri nchi 9 ambazo ni China,
Misri, India, Iran, Israeli, Korea Kaskazini, Pakistani, Urusi na Marekani.
.jpg)

.jpg)
.jpg)
.jpg)
Maoni
Chapisha Maoni