Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2023

TAPSEA MKOA WA DODOMA WASAIDIA WAATHIRIKA WA HANANG

Picha
  TAPSEA   MKOA WA DODOMA WASAIDIA WAATHIRIKA WA HANANG Chama cha Waandishiwaendeshaofisi (TAPSEA), Mkoawa Dodoma kimetoa pole namsaadawavifaambalimbalikwawaathirikawamaporomokoya tope yaliyotokeaWilayaniHanangMkoaniManyara. msaadahuoambaonimchangowa TAPSEA mkoawa Dodoma nipamojana vifaavyashuleyakiwemomadaftari, sarezashule, kalamunanguovyotevikiwanajumlayatakribanishilingimilioni 5. Mwakilishiwa Chama hicho   Bi, ConjetaChambilaamesemachamachaokimeonaumuhimuwakuchangianakwalengo la kuwezakuwasaidiawenzao. Pia Bi Chambila, amemshukuruKatibuMkuu, WizarayaUjenziBalozi, Mhandisi Aisha Amour   kwakuwezakuwawezeshausafiriwakutoka Dodoma hadikufikaMkoaniManyara. “ TunamshukurusanaKatibuMkuuwaujenzi, kwakuwezakutukusanyapamojanakutuwezeshakutupausafiri, ikiwatunatokaOfisimbalimbali” amesemaChambila. Aidha, Chama hichokimetoawitokwawaandishiwaendeshaofisiwenginewamikoayakaribukuwezakuwasaidiawaathirikahaoambaowamepotezavituvyaowakatiwamaafahayo. Kwa upande wak...

BILIONI 11.4 KUJENGA DARAJA LA SUKUMA NA BARABARA UNGANISHI KM 2.2

Picha
  BILIONI 11.4 KUJENGA DARAJA LA SUKUMA NA BARABARA UNGANISHI KM 2.2   Magu - Mwanza Waziri waUjenzi, Innocent BashungwaamesemaRaisDkt. SamiaSuluhu Hassan tayariameshatoaShilingiBilioni 11.4 kwaajiliyaujenziwaDaraja la Sukuma lenyemita 70 lililopowilayaniMagumkoani Mwanza pamojanabarabaraunganishiyenyekilometa 2.294 Waziri BashungwaameyasemahayoleoDesemba 17 wilayaniMagumkoaniMwanza   baadayakushuhudiautiajisainiwamkatabawaujenziwadarajahilokatiyaWakalawaBarabaraNchini (TANROADS) nakampuniyaMkandaradiMzawayaMumangi Construction Ltd. “JitihadazinazofanywanaRais Dk. SamiaSuluhu Hassan zinaonekananaametuwezeshakiasi cha ShilingiBilioni 11. 4 kwaajiliyaujenziwadarajahilinababarabaunganishizenyeurefuwakilometa 2.294,   baadayamiezi 18 kamamkatabaunavyotakabarabaranadarajavitakuwavimeimalikanakutuepushanaajaliambazozingewezakutokea” amesemaBashungwa. Aidha, BashungwaamesemaSerikalikupitiaWizarayaujenziitahakikishaMakandarasiwazawawanapewakazinakuwasimamiwailiwa...

Wanawake Jitambueni kufanya kazi

Picha
  Wanawake Jitambueni kufanya kwa kujituma kazi Kibondo. Wanawake wamehaswa kujituma katika kufanya kazi ili kuogeza vipato vya familia na kuboresha malezi ya watoto ili kuepukana na ukatili wa kiuchumi na kijinsia Wengi wao wametajwa kutumia mitandao na kuiga tamaduni zisizostaili hatua ambayo imekuwa ikiwachelewesha kufikia malengo yao na kusababisha kukata tamaa Wakiwa katika siku 16 za kupinga ukatili, kwenye hafla  iliyo wahusisha Wanawake wanachama wa Kibondo women Gala cha Mkoani Kigoma Mwalimu wa Masuala ya Kisaikolojia Epsalia Malya amesema wanawake wengi wamekuwa wavivu wa kujishuguli huku wakipendelea kujipamba na kushindwa kufanya kazi ‘ ’Aliyeajiriwa afanye kazi kwa weredi kwa kufuata taratibu za kazi Mfanyabiashara nae awe mbunifu kwani umakini na kujali ni moja chanzo cha mafanikio kwa mlengwa na hizo ndizo baraka’’alisema Malya Nae Sadaka Gandi toka Jijini Dsalaam ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla  ambae pia  ni Mtaalam wa Saikolojia amesema zip...

KASEKENYA: TUMIENI WATAALAM ACHENI KUOGOPA GHARAMA

Picha
  KASEKENYA: TUMIENI WATAALAM ACHENI KUOGOPA GHARAMA   Serikaliimetoawito kwa Mashirika, Taasisi za Serikali pamoja na Sekta Binafsi kushirikisha watalaam wa fani ya WabunifuMajengo katika utelelezaji wa miradi mbalimbali ya majengo, barabara namadarajailikuletaubunifu wa kipekee katika miji nakuifanyaiwe yenye mandhari bora.   Witohuoumetolewajijini Dar es Salaam naNaibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya, katika Mkutano wa 27 naKumbukizi ya Miaka 40 ya Chama cha WabunifuMajengo Tanzania (AAT), ambapo pamoja na mambo mengineamesisitizaelimuzaidiitolewekuhusuumuhimu wa tasniahiyo katika shughuli za ubunifu wa majengohasa kwa Sekta Binafsi.   “Nisemetu kama mtanzania wakati fulanihatutumiisanawataalamambaomwisho wa sikuutapatakaziyako nzuri, ya uhakikana yenye usalama kwa kuhofia gharama kubwanamatokeoyaketunaenda kwa watu wa barabaranibilakufahamuatharizakehivyoni jukumu lenukuwaeleshawananchikuhusufani hii”, amesema Eng. Kasekenya.   ...

WATAALAM WA KILIMO TIMIZENI WAJIBU WENU

Picha
WATAALAM WA KILIMO TIMIZENI WAJIBU WENU Kibondo.  Wataalam wa Kilimo Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma wametakiwa kutimiza Wajibu wao kufanya kazi kwa weredi na uadilifu ili kuboresha sekta ya Kilimo Wakulima wamekuwa wakikatishwa tamaa na mienedo ya baadhi ya Maafisa Ugani maeneo ya Vijijini kutokana na baadhi yao  kutokuwa na kutowafikia Wakulima ili kuwaelekeza  namna ya  kuendesha shughuli za Kilimo na uzalishaji kuwa katika viawango visivyoridhisha Akifunga mafunzo  kwa Maafisa Ugani  wa Halmashauri za Wilaya za Kasulu na Kibondo Mkuu wa Idara ya Kilimo na Mifugo  Wilaya ya Kibondo Gabriel Chitupila akimwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Diokles Lutema  jana aliwataka Maafisa Ugani hao kuwasaidia wakulima kwa hali na mali kwani wengi wamekuwa wakikosa ushauri wa kitaalam na kulazimika kuendesha kilimo isivyostaili Chitupila aliongeza kuwa Mafunzo hayo ya siku tano kwa Maafisa ugani hao kwa ajili ya kuwajengea uwezo Maafisa ugani h...

MIKATABA 15 YA UJENZI WA BARABARA YA ZAIDI YA TRILIONI 1 KUSAINIWA.

Picha
  MIKATABA 15 YA UJENZI WA BARABARA YA ZAIDI YA TRILIONI 1 KUSAINIWA. SerikalikupitiaWakalayaBarabara Tanzania (TANROADS) inatarajiakusainimikataba 15 kwapamojayaujenziwabarabarakwakiwango cha lamipamojanaDarajazenyethamaniyashilingiTrilioni 1.034 ilikuboreshahudumazamiundombinunchini. Hayoyameelezwana Waziri waUjenzi, Innocent BashungwawakatiakitoamajibuyanyongezaleoTarehe 03 Novemba, 2023 Bungenijijini Dodoma katikakikao cha Nne, Mkutanowa 13. BashungwaamesemakuwamiradihiyoinatarajiwakutekelezwakwakutumiafedhazandanizamiradiyamaendeleonaSerikaliikombionikuandaatukiohilo. “MheshimiwaRaisameshatoakibalikamaMheshimiwaNaibu Waziri alivosema, natumeonatuandaesikuambayotutasainimikatabahiikwasikumojahalafubaadayahapomiminaNaibu Waziri tutaambatananaWaheshimiwaWabungekwendakuwakabidhimakandarasikwenyemajimboyenu”, amesemaBashungwa.  AwaliNaibu Waziri waUjenzi, Eng. Godfrey Kasekenyawakatiakijibuswali la MbungewaBusokelo, MheshimiwaAtupeleMwakibete, amesemataratibuzamanunu...

SEKTA BINAFSI KUSHIRIKISHWA UENDESHAJI RELI

Picha
  SEKTA BINAFSI KUSHIRIKISHWA UENDESHAJI RELI   Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Prof.Godius Kahyrara amesema Serikali inaendelea kuboresha miundombinu na sheria zinazosimamia usafiri wa reli Nchini ili kuruhusu sekta binafsi kuendesha treni zao katika reli ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA).   Prof. Kahyrara ameyasema hayo jijini Dodoma wakati aliposaini mkataba wa Utendaji kazi kati yake na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)Masanja Kadogosa na kusisitiza kuwa tija ya maboresho hayo ni pamoja na kukuza patola taifa na urahisi kwenye usafirishaji wa mzigo kutoka eneo moja kwenda jingine.   “Shirika la TAZARA na TRC ni miongoni mwa mashirikayanayopewa kipaumbele kwa sasa katika sekta ya Uchukuzi na maeneo yanayotazamwa ni pamoja na uboreshaji wa miundombinu ambayo kwa muda mrefu   haikukarabatiwa” amesema Prof. Kahyrara.   Katibu Mkuu Prof.   Kahyrara amesema maboresho y...

ERB KUWA WAFANISI KWENYE KUSIMAMIA MIRADI

Picha
  ERB KUWA WAFANISI KWENYE KUSIMAMIA MIRADI   KamatiyaKudumuya Bunge yaMiundombinuImewatakaBodiyaUsajiliWahandisi( ERB) kuwezakusimamiamiradiyaokwaufanisinakwaviwangovyahaliyajuu. AkizungumzamarabaaadayakupokeaTaarifayakiutendajiyaJulai- Oktoba Bungeni, jijini Dodoma, Mwenyekitiwakamatihiyo, Mhe. SelemaniKakoso, ameshauriBodikuwanawataalamuwakusimamiamiradiiliifanyikekwaumahirinaufanisizaidi. “Tuangaliesuala la ERB kuwezakusimamiamiradiyoteambayoimepangakuitekelezakwaWahandisiwazawanawahandisikutokanje, mfanousimamiziwaDaraja la kutokaSerengeti hadiTarimelimejengwanaWazawanalipovizurisana”, amesemaMheshimiwaKakoso. Aidha, MheshimiwaKakosoameongezakuwaWahandisiwaunganishwenaMafundiilikuwezakufanyakazikwapamojakwaniitaletatijanahatimayekuleteataasisimaendeleo Kwa upande wake, Naibu Waziri waUjenzi, Eng. Godfrey Kasekenya, ameishukuruKamatiyakudumuya Bunge la Miundombinu, nakusemakwambaSerikalikupitiaWizarayaUjenzi, imewapamajukumubodihiyokuwezakuwatambuakisheriaWahan...

Uboreshaji wa Elimu unahitaji ushirikiano wa pamoja

Picha
 Uboreshaji wa Elimu unahitaji ushirikiano wa pamoja  Kanali Evance Malasa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko alipokuwa akizungunza kwenye hafla ya Makabidhiano ya Madawati na Vitanda vilivyolewa na Benki ya NMB  Seka Urio Meneja wa NMB Kanda ya Magharibu Stephan Ndaki Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Kakonko Wakati serikali ikiendelea kuboresha miundombinu ya Elimu Wilayani KakonkoMkoani Kigoma, Mkuu wa Wilaya hiyo Evance Malasa ameitaka jamii kuendelea kushirikiana na walimu ili kuongeza ufaulu kwa Wanafunzi Maendeleo mazuri ya Mtoto shuleni yanategemeana na ushirikiano wa pamoja kati ya Mwalimu Mzazi au mlezi hivyo wasiachiwe walimu peke yao ameongeza kuwa si vizuri kusika ufaulu Wanafunzi   wa wilaya yao   unendelea kushuka kila kukicha Malasa aliyasema hayo juzi wakati wa hafla fupi ya kupokea Vitanda na Madawati yaliyotolewa na Benki ya NMB kwajili ya shule ya Msingi Itumbiko   ambapo amesema serikali kupitia wadau wamekuna jitiada za kuboresha elimu hiv...

Wazazi timizeni wajibu wenu katika Malezi ili Watoto wenu wafikie Ndoto zao

Picha
    Maulid Jumaa Mdau wa Elimu na Mkurugenzi Ahava Sekondari alipokuwa akizungumza na wanafunzi na Wazazi wakati wa Mahafali ya pili Kuitimu Kidato cha Nne  Frolence Samizi Mbunge wa Jimbo la Muhambwe alipokuwa akiwahutubia mamia katika mahafali ya pili kuhitimu Kidato cha nne 2023 Shule ya Sekondari Ahava iliyoko Kibondo Mkoani Kigoma Wazazi timizeni wajibu wenu katika Malezi ili Watoto wenu wafikie Ndoto zao Muhingo Mwemezi   Kibondo Wazazi kutotimiza wajibu sababu zinazopelekea Vitendo vya mmomonyoko wa maadili kuendelea kushamili kwa Watoto na wengine kushindwa kufikia ndoto zao Licha ya maelekezo toka   kwa Serika na Wadau mbalimbali juu ya   wazazi na walezi ambayo uwataka kutimiza wajibu wao huwaachilia watoto wao katika masuala ya starehe bila maonyo na makaripio kwa watoto na kupelekea kushindwa masomo mwisho wa kwa wasichana kubeba Mimba na wavulana madawa ya kulevya Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali   Wilayani Kibondo Mkoani Ki...