MANISPAA YA ILEMELA YAENDELEZA MPANGO WA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI KWA KUTOA TSH 625 KWA ROBO YA TATU 2026 10% MAKUNDI MAALUM
Watu milioni 800 duniani
wanatajwa kuishi katika umaskini uliokithiri na aina nyingi za umaskini
zinasababishwa na kuongezeka kwa idadi ya watu wasio na ajira ajenda ya Umoja
wa Mataifa ya Malengo ya Maendeleo Endelevu ya mwaka 2030, ambayo yameliweka
suala la kupambana na umaskini kama lengo kuu kuzishauri nchi zote kuutokomeza
umaskini
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa,
siku ya kupambana na umaskini inaadhimishwa kwa kuzingatia wito uliotolewa
miaka 25 iliyopita ya kutambua ujuzi na ujasiri wa familia zinazoishi katika
umaskini duniani kote, umuhimu wa kuwafikia Watu maskini na kuwawezesha
kiuchumi
Tanzania ni moja ya nchi
Duniani ambayo inaendelea Mikakati ya kupambana na umasikini kwa kuwawezesha Wananchi kiuchumi ,kutokana na
hatua hiyo, Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza imeendeleza mpango huo ambapo
katika robo ya tatu 2026 Vikundi 41 Vimepatiwa Mikopo ya 10% amebainisha Kaimu Afisa Maendeleoa Manispaa
hiyo Yusuph Okoko wakati wa hafla ya utoaji hudi
Ili kufikia malengo ya Serikalii
walengwa wamehaswa kutumia vizuri Mikopo hiyo kwa kujituma katika kazi kwa
weredi na kujali muda amewashauri Walengwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Amili
Nkalipa
Fedha zilizotolewa kwa makundi
ya Vijana Wanawake na Walemavu kwa roboya tatu ni Milion 625 Wanufaika ambao ni
Laila Mkumbo na Jeni John wakishukuru
kwa hatua hiyo huku Mkuu wa Wilaya Amili Mkalipa akisistiza urejeshaji wa
Mikopo kwa Wakati
‘’Mnapofanya kazi kumbukeni
fedha hizo siyo msaada bali ni Mkopo hivyo lazima ulipwe na hatua zitachukuliwa
kwa wale ambao hawatafanya utaratibu wa marejeshonasiyo vizuri tufike huko
kwenye kusumbuana tena mnapolipa, mnatoa nafasi kwa wengine kukopa na nyie
wenyewe najiongezea nafasi ya kukopa tena..alisema Nkalipa
Maoni
Chapisha Maoni