Ni wazi kuwa maisha katika uso wa Dunia hutegemea huduma ubora wa huduma zitolewazo na mazingira husika. Ukiangalia mfumo wa ikolojia wa misitu, bahari, mbugani na kwenye udongo utaona uwepo wa maji, hewa nzuri na rutuba ya udongo ndivyo vinavyopelekea wanyama na mimea kuwepo na kupendezesha mazingira.
Eneo la Igamba katika Mto Maragalasi ambako waligundulika vyura na Konokono wasiopatikana kokote Duniani ambapo lilitakikiwa kujengwa kituo cha kufua umeme Baadhi ya washiriki wa semina ya uhifadhi viumbe hai na Mazingira iliyofanyika Kazulamimba Donald Kasongi mkurugenzi mtendaji shirika la Governance Links akiwa mwezeshaji katika semina ya uhifadhi wa mazingira Kazulamimba Pantaleo Shoki Mkurugenzi wa utafiti na sera shirika la Governance Links Ni wazi kuwa maisha katika uso wa Dunia hutegemea huduma ubora wa huduma zitolewazo na mazingira husika. Ukiangalia mfumo wa ikolojia wa misitu, bahari, mbugani na kwenye udongo utaona uwepo wa maji, hewa nzuri na rutuba ya udongo ndivyo vinavyopelekea wanyama na mimea kuwepo na kupendezesha mazingira. Wakazi wa kata ya Kazulamimba wilaya ya uvinza mkoani Kigoma wamepata kujifunza kuhusu uhusiano uliopo kati ya mazingira na maisha ya viumbe hai katika uso wa Dunia. Waliweza kutambua kuwa Mazingira...