Baadhi
ya askali Polis na mgambo wanaofanya kazi maeneo ya mipakani wametakiwa kuwa
waadilifu na kuacha kuwanyanyasa wageni ambao ni Laia wa Burundi wanaokuwa wakiingia nchini
kaika maeneo ya mipakani kufanya shughuli mbambali za ki ujirani mwema ili
kuifanya dhana hiyo kuwa tija.
Wito
huo umetolewa na Mkuu wa wilaya ya kibondo mkoani kigoma Venance Mwamoto,
wakati wa uzinduzi wa Soko la ujirani mwema lililojengwa mpakani mwa Burundi
na Tanzani katika kijiji cha Kibuye kata ya Kumsenga.
Katika
hotuba yake iliyotolewa kwa niaba
yake na Katibu tawala wa wilaya hiyo
Bw, ayubu Sebabile amesema kuwa
kumekuwepo na vitendo kwa baadhi ya Askali polisi na Mgambo kuwa toza pesa laia wa Burundi ambao wamekuwa
wakiingia Tanzaana kwa ajili ya kufanya
biashara na metembezi ya kawaida maeneo ya mipakani hali ambayo ni kinyume na
utaratibu na kupiga marufuku hali hiyo isirudiwe tena.
Insert I Ayubu
Sebabili katibu tawala
Que in………………
Wananchi
wanaoishi maeneo ya mipakani wanaruhusiwa kutembea kilomita kumi na 15 ndani ya
nchi nyingine bila kusumbuliwa hivyo
kuwatoza pesa kwa kisingizio cha kuingia nchini ni kinyume cha taratibu.
Askali
hao wamelalamikiwa kuwatoza shilingi elfu 2 hadi 3 kila anayeingia Tanzania
Amesema
serikali inafanya kila namna kuhakikisha inainua na kuboresha uchumi na maisha ya mtazania
kuanzia ngazi ya chini.
Insert 2 Ayubu
sebabile katibu tawala W kibondo
Que in…………………………
Kwa
upande wao baadhi ya Wananchi wa Burundi waliofika katika uzinduzi
huo wamesema kuwa ni kweli mipango ya serikali hizi mbili ni kuhakikisha watu
wao wanaishi katika hali ya amani na kwa kushirikiana ila kumekuwepo na baadhi
watu wambao wamekuwa wakikwa amisha juhudi hizo kwa kukiuka taratibu
Aidha
wamedai kuwa kama hakutakwepo na hatua za dhati za viongozi kuwaonya na
kuwaeleza walinzi wanaofanya kazi mipakani kuwa waadilifu, basi kuendelea
kutumia garama kubwa kujenga masoko ya mipakani kama
hayo kwa ajili ya kufanya biashara kwa
kushirikiana kutakuwa hakuna maana
Insert Soni Ntahongela,
toka Burundi
Insert Nashoni
Kanegene Diwani kata ya Kiharu Burundi
Que in…………..
Pamoja
na mambo megine, wanachi wa naoishi maeneo hayo ya mpakani, wamesema kwakuwa
lengo kuwaendeleza wananchi wao, wameziomba serikali za nchi zote mbili kutoa
elimu kwa wananchi ili kujikinga ma magonjwa mbamli ya mlipuko kama kipindu na Ebola kutegemeana na muingiliano wa watu wengi na
kuweka ulinzi ili kukabiliana na vitendo vya ujambazi vinavyoweza kujitikeza
kaika maeneo ya mipakani.
wamezipongeza
serikali kwa kweka soko hilo eneo la mpakani kwani wataweza kufanya shuguli zao
kwa uhakika foauti na hapo awali ambapo walikuwa wakifanya kazi kwa usumbu, ila
kwa hivi sasa wenzao wa Burundi watajua kuwa pakuchulia bidhaa wanazozihitaji
papo na ni sehemu salama hali ambayo itawaongezea kipato watanzania.
Inserts Watanzania
Insert Stephan Aporinali mkazi wa kumsenga
Insert Bariki Leonard mkazi wa kumsenga
Que in…………
Ujenzi
wa soko hilo
umegarimu kiasi cha shilingi za kitanzania milioni 110 kwa fedha za serikali za mitaa LCGD na ujenzi wake ulianza june 2011 na
kukamilika May 2013 kuzindulia mwezi October 2014
Mwisho
Maoni
Chapisha Maoni