Machapisho

wananchi wapongeza uongozi wa hifadhi ya taifa Arusha

Picha
bi Mary Kilombo mwana ikolojia hifadhi ya taifa arusha bw Nathanael shafuni mhifadhi mkuu hifadhi ya taifa arushwa Mwemezi Muhingo Arusha Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Ngarenanyuki wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha, wameupongeza uongozi wa Hifadhi ya Taifa ya Arusha kwa huduma wanazozipata kutokana na Hifadhi hiyo, Hayo yamesemwa na wakazi hao wanaoishi kwa kwenye vijiji ambavyo vinaizunguka hifadhi hiyo, wakati wa ziara ya waandishi wa habari wa mkoa wa Kigoma walipotembelea na kuona baadhi ya kazi zinazofanyika humo. Wakazi hao wamesema kuwa kushirikiana na huongozi wamekuwa wakipatiwa ajira ndogondo za mara kwa mara ambazo zinawasaidia kuongeza pato katika familia zao ikiwa ni pamoja na kuwasindikiza watalii wakati wa kupanda mlima Meru ikiwa ni pamoja na    na kujengewa shule katika maeneo ya vijiji vyao na huduma za Afya zinazopatika hifadhini. Pamoja na faida wanazozipata wametaja changamoto wanazokabiliana nazo kuwa ni wanyama ku...