- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Machapisho
RC, aipongeza Wilaya ya kibondo wa ujenzi Maabara
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
KIGOMA RC, aipongeza Wilaya ya kibondo ujenzi Maabara Mkuu wa mkoa wa Kigoma Issa Machibya ameupongeza uongozi wa wilaya ya kibondo na wananchi kwa ujumla juu ya kazi inayoendela katika mikoa na wilaya zote hapa nchini ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari Hayo ameyasema leo alipokuwa akiongea kikao cha dharula cha baraza la Baraza Halmashauri wilaya ya kakonko mkoani kigoma katika kuhamasisha ujenzi wa maabara hizo, Machibya amedema kuwa katika wilaya zote za mkoa huo ni wilaya mbili tu ambazo zina uhakika wa kukamilisha vizuri ujenzi huo mnamo November 30, 2014 ambazo ni Kigoma na Kibondo huku akizitupia lawama zingine kuwa baadhi yao wamekuwa wakiwaachia wananchi peke yao kuwa waendelee na ujenzi na wataalam kutokufanya kazi zao inavyostaili ‘’ Jambo hili halitakubalika kabis...
Rc aipongeza Wilaya ya kibondo kwa mwendelezo wa ujenzi Maabara
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine