Machapisho

Ni wazi kuwa maisha katika uso wa Dunia hutegemea huduma ubora wa huduma zitolewazo na mazingira husika. Ukiangalia mfumo wa ikolojia wa misitu, bahari, mbugani na kwenye udongo utaona uwepo wa maji, hewa nzuri na rutuba ya udongo ndivyo vinavyopelekea wanyama na mimea kuwepo na kupendezesha mazingira.

Picha
Eneo la Igamba katika Mto Maragalasi ambako waligundulika vyura na Konokono wasiopatikana kokote Duniani ambapo lilitakikiwa kujengwa kituo cha kufua umeme  Baadhi ya washiriki wa semina ya uhifadhi viumbe hai na Mazingira iliyofanyika Kazulamimba  Donald Kasongi mkurugenzi mtendaji shirika la Governance Links akiwa mwezeshaji katika semina ya uhifadhi wa mazingira Kazulamimba Pantaleo Shoki Mkurugenzi wa utafiti na sera shirika la Governance Links Ni wazi kuwa maisha katika uso wa Dunia hutegemea huduma ubora wa huduma zitolewazo na mazingira husika. Ukiangalia mfumo wa ikolojia wa misitu, bahari, mbugani na kwenye udongo utaona uwepo wa maji, hewa nzuri na rutuba ya udongo ndivyo vinavyopelekea wanyama na mimea kuwepo na kupendezesha mazingira. Wakazi wa kata ya Kazulamimba wilaya ya uvinza mkoani Kigoma wamepata kujifunza kuhusu uhusiano uliopo kati ya mazingira na maisha ya viumbe hai katika uso wa Dunia. Waliweza kutambua kuwa Mazingira...

Wakazi wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wameitaka serikali ijayo kuhakikisha inatatua kero zinazowakabili wananchi katika maeneo mengi hapa nchini hususa kwa wale wanaoishi vijijini ambao kufikiwa na huduma mbalimbali za kijamii ni kwa kususua

Picha
Aisha Meda mkazi wa kiyobelas Juma Maganga mgombea udiwani kakonko Caros Gwamagobe aliyekuwa mgombea ubunge kura za maoni ccm Buyungu Christopha Chiiza mgombea ubunge Buyungu akipokea Ilani ya chama cha mapinduzi Julias Mbwiga katibu Ccm Kakonko  Mwinyi Ramadhani mkazi wa kakonko Wakazi wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wameitaka serikali ijayo kuhakikisha inatatua kero zinazowakabili wananchi katika maeneo mengi hapa nchini hususa kwa wale wanaoishi vijijini ambao  kufikiwa na huduma mbalimbali za kijamii  ni kwa kususua Wakiongea na clouds Tv wananchi hao ambao ni Ramadhan Mwinyi, Aisha Medas na Juliana Emily, wamesema kuwa hivi wananchi wanakumbwa na matatizo mengi ikiwa ni kukosa huduma za Afya, Maji, Barabara na Elimu na hata kutotendewa haki na baadhi ya viongozi wa ngazi za vijiji na kata hatua inayokwamisha juhudi za maendeleo Wameeleza kuwa hivi sasa nchi inaelekea kipindi cha uchaguzi mkuu wagombea wengi wa wanaf...

Shule ya msingi Nengo ya Walemavu, iliyoko wilayani Kibondo mkoani kigoma, inayohudumia wanafunzi walemavu wa mahitaji maalum inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwa ni ukosefu wa maji Vifaa vya kujinfunza na kufundishia na vyombo vya kulia chakula

Picha
Wanafunzi shule ya msingi Nengo elimu maalum walemavu Elisha  George mwanafunzi shule ya msingi nengo walemavu  Lukas Frand muu wa shule ya Nengo Islafil Ntoteye mwenyekiti chama cha walemavu wa ngozi w kibondo Shule ya msingi Nengo iliyoko wilayani Kibondo mkoani kigoma, inayohudumia wanafunzi walemavu wa mahitaji maalum inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwa ni ukosefu wa maji  Vifaa vya kujinfunza na kufundishia na vyombo vya kulia chakula Akisoma lisara kwa niaba ya wanafunzi wenzake wakati wa afla ya matembezi kwa ajili ya kutoa elimu juu ya kuwatambua na kuwa thamini walemavu yaliyoandaliwa chama cha walemavu wa ngozi Tas kwa kuzishirikisha  baadhi ya shule za sekondari za  mjini kibondo Elisha George ambaye ni mlemavu wa macho, hali inayoweza kusababisha kiwango cha elimu kushuka Ameeleza kuwa  kwa wanafunzi ambao si walemavu wa viungo wanatumia muda mrefu kuchota maji badala ya kusoma, kwa ajili ya ...

Mahakama ya Wilaya ya kibondo mkoani Kigoma imemuhukumu Mkazi mmoja wa kijiji cha Muhange Wilaya Kakonko kutumikia adhabu ya miaka 7 gerezani au kulipa faini ya shiringi milioni 6 baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha watoto wa wili raia wa kigeni kutoka nchini Burundi.

Picha
Mahakama ya Wilaya ya kibondo mkoani Kigoma imemuhukumu Mkazi mmoja wa kijiji cha Muhange Wilaya Kakonko  kutumikia adhabu ya miaka 7 gerezani au kulipa faini ya shiringi milioni 6 baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha watoto wa wili raia wa kigeni kutoka nchini Burundi. Mbele ya hakimu Mkaazi  wa Mahakama ya wilaya ya kibondo Bw.  Mlokozi Mkamuntu Mwendesha mashitaka wa Idara ya Uhamiaji  Bw. Baraka Manga   amemtaja mtuhumiwa  huyo kuwa ni  Norbeth Dominico mwenye umri wa miaka 21 mkazi wa kijiji cha Muhange Wilayani Kakonko. Mwendesha mashitaka wa idara ya uhamiaji Bw.Manga amesema kuwa mnamo Augost 16 mwaka huu, majira ya saa 11:00 asubuhi katika kituo cha Polisi cha ukaguzi wa magari mjini Kakonko mtuhumiwa alikutwa na watoto wa kike wa wili akiwasafirisha kutoka nchini Burundi kuelekea Mkoani Shinyanga kinyume na sheria. Aidha katika maelezo ya awali Bw. Manga amewataja watoto hao kuwa ni Miuelle Emmanuel mwenye umri wa miaka 16 na Safi...

Uingereza na uhamiaji haramu

Picha
Serikali ya Uingereza itatangaza leo Jumanne mapendekezo mapya ya kukabiliana na suala tata la uhamiaji. Wahamiaji ambao watapatikana wakifanya kazi kinyume na sheria nchini Uingereza na Wales, watakabiliawa na hukumu ya hadi miezi sita gerezani na kupigwa faini ya fedha nyingi.

Vijana hapa nchi wametakiwa kujitambua kuwa wao ni kundi muhimu sana na linalotegemewa kama nguvu kazi ya Taifa, hivyo kutokana na hali hiyo wasikubali kutumiwa vibaya katika jambo lilote hasa katika kipindi hiki cha kampen za kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 25 mwaka huu

Picha
Vijana wametakiwa kujitambua Vijana  hapa nchi wametakiwa kujitambua kuwa  wao ni kundi muhimu sana na linalotegemewa  kama nguvu kazi ya Taifa, hivyo kutokana na hali hiyo wasikubali kutumiwa vibaya katika jambo lilote hasa katika kipindi hiki cha kampen za kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 25 mwaka huu Akiongea kwenye mkutanu wa uzinduzi wa  kampeni za chama cha mapinduzi uliofanyika katika Tarafa ya kifura wilaya kibondo mkoani Kigoma, aliyekuwa mgombea Ubunge kura za maoni kisha kuengeliwa na halmashauri kuu ya Ccm, Jamal Abdalah amesema kuwa vijana wengi hawajaweza kujitambu umuhimu walionao hali inayopelekea kurubuniwa na kujiingiza katika vitendo visivyostaili Jamal aliyekuwa mshindi katika kura za maoni na kuondolewa katika nafasi hiyo, amezidi kumnadi mgombea aliyepata nafasi ya tatu  na baadae kuteuliwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Muhambwe Atashasta Nditiye amewataka wanachama  wa ccm na vyama vingine hususa vijana kutokubali kutumiw...

Mkuu wa jeshi la polisi wilayani kakonko mkoani kigoma Bw. Filimoni Makungu amewataka wanasiasa kutumia sera zao kuwashawishi wananchi katika kampeni zao na kuepuka lugha za uchochezi ambazo huweza kuleta vurugu baina yao.

Picha
Mkuu wa jeshi la polisi wilayani kakonko mkoani kigoma Bw. Filimoni Makungu amewataka wanasiasa kutumia sera zao kuwashawishi wananchi katika kampeni zao na kuepuka lugha za uchochezi ambazo huweza kuleta vurugu baina yao. Filmon Makungu Ocd Kakonko Wito huo  ameutoa wakati akizungumza na na clouds  ofsini kwake alipo kuwa  akizungumzia mchakato wa jeshi la polisi wilayani humo walivyo jipanga katika kudhibiti vitendo vya uvunjifu wa amani hasa wakati wa kampeni mbalimbali za uchaguzi mkuu. Bw.Makungu amesema tume ya uchaguzi imetoa maelekezo mazuri kwa wagombea na hivyo hatarajii kuona kampeni za uchochezi na lugha chafu na kwa wale amabao  wataenda kinyume na maelekezo ya tume ya uchaguzi sheria zitachukua mkondo wake. Kwa upande wake mkurugenzi mtendaji wa halimashauli ya wilaya ya kakonko Bi.Jaina Msangi amesema wagombea kutoka vyama mbalimbali wanapokuja kuchukua fomu wamepewa maelekezo ya kutosha na hivyo hatarajii kuona dosari kwa wagombea hao wakati...