Machapisho

40 CHADEMA KIBONDO WAJIONDOA

Picha
  Baadhi ya Viongozi na wanachama wa Chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma wametangaza kujiengua na Chama hicho kwa madai ya mpango wake wa kuendesha Oparasion ya Bila mageuzi hakuna uchaguzi Wanachama hao wamedai kuwa hatua hiyo inawanyima haki yao ya Msingi ya kuchagua na kuchaguliwa   Wakiongea na Waandishi wa Habari mjini  Kibondo mmoja wa Wajumbe wa Kamati tendaji na Katibu Msiaafu wa Chadema Wilaya ya Kibondo  Lenatus Richadi alikuwa wakwanza kutangaza kijiengua kwenye Chama hicho na kueleza kuwa hajawa na mpango wa kujiunga na chama kingine kwa sasa   Wanachama walioamua kujitenga na Chadema Wilaya ya Kibondo kwa sasa Idadi yao ni 40 na wanadai muda uliopo kufanya mageuzi na kurekebisha taratibu zingine ili chadema ikubali na iendelee uchaguzi 2025 ni mfupi sana hivyo haki zao watazikosa   ‘’ Kweli nakipenda Chama change kimenitoa mbali sana lakini utaratibu huu na misimamo iliyopo siwezi kuendelea...

MIRADI YA MAJI THAMANI YA FEDHA IONEKANE

Picha
  Evance Malasa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko   Muhingo Mwemezi Kigoma Kutokana na serikali kuendelea kutoa fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji Miundombinu   ya Maji, Wasimamizi wa Miradi hiyo wametakiwa kuahakikisha thamani ya fedha hizo inaonekana ili kuleta tija na kuondoa changamoto kwa wananchi kutumia muda mwingi kutafuta Maji na kushindwa fanya shughuli za uzalishaji Kadri Miradi inavyoongezeka vivyo hivyo na migao ya Maji ipungue kwenye maeneo ya wananchi na huduma ziwe bora ikiwa ni pamoja na ankala halisi zinazotakiwa kulipwa na wananchi Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya Kakonko Mkoani Kigoma Evance Malasa, kwenye kilele cha maadhimisho ya wiki ya Maji yaliyofanyika Kijiji cha Nyanzige kata ya Nyamtukuza ambapo amesema ni vema Wakala wa Maji na usafi wa Mazingira Vijijini Ruwasa wilayani humu kujitathimini na kufanya maboresho ya utoaji wa   huduma za Maji Maadhimisho hayo yameambatana na uwekaji jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa Mradi Mkubwa...

HALMASHAURI YA KIBONDO KULIGAWA JIMBO LA MUHAMBWE

Picha
    Muhingo Mwemezi Kibondo Baraza la Halmashauri ya Kibondo na Kikao cha ushauri cha Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma vimepitisha mapendekezo ya kuligawa jimbo la Muhambwe kuwa majimbo mawili kwa kile kinachotajwa kuwa ni kusogeza huduma karibu na wananchi Daniel Ndalangavye ni Afisa uchaguzi halmashauri ya kibondo yeye katika taarifa yake anasema mapendekezo hayo yamezingatia vigezo vilivyotolewa na Tume huru ya uchaguzi Tanzania ikiwa baadhi yake ni Idadi ya Watu, Ukubwa wa Eneona ukusanyaji wa ushuru na kodi huku akieleza kuwa kulingana na Jiografia ya eneo   wananchi wengi wamekuwa wakipata usumbufu kuifikia ofisi ya Mbunge kwa sasa kutokana na umbali hivyo Jimbo likigawanywa   Wabunge wa Majimbo hayo wataweza kuwahudumia wananchi kwa ufasaha zaidi Awali Jimbo la Muhambwe liliitwa Kibondo na mwaka 2010 likagwaanywa Majimbo mawili Buyungu Kakonko baadae kuitwa Muhambwe na sasa inapendekezwa Muhambwe kugawanywa tenda ambapo wajumbe wajumbe wa Baraza na Kika...

RUSHWA YANGONO BADO NICHANGAMOTO KWA WANAWAKE NA WASICHA KATIKA MASUALA YA MAENDELEO

Picha
Baadhi ya Wanawake walioshiriki maadhimisho siku ya Wanawake Duniani March8,2025 Hidaya Kimpwi Mkazi wa Buhigwe Aggripina Buyogela Mwenyekiti UWT Mkoa wa Kigoma alipokuwa akitoa salamu kwenye maadhimisho siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma Aggrey Magwaza Mkuu wa wilaya  ya Kibondo mgeni rasmi kwa niaba ya mkuu wa Mkoa wa Kigoma   Muhingo Mwemezi Kigoma Imeelezwa Wanawake wamekuwa wakikosa haki zao kutokana na kukosa elimu mapambano dhidi ya rusha za ngono hatua ambayo imekuwa ikididimiza ndoto za watu wengi hasa Wasichana na wanawake vitendo ambavyo vimekuwa vikishamili kila uchao Akiongea kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kimkoa katika Wilaya ya Kibondo mwakilishi wa Mkuu wa Takukuru Mkoa huo Sweetberita Nkoba amesema yapo madhara ambayo yamekuwa yakiwakuta wanawake kutokana na Rushwa ya Ngono ambapo Taasisi yake imekuwa ikitoa elimu kwenye jamii ili iweze kuepukana na na vitendo hivyo na kusisitiza jamii kuacha...

Samia atoa msaada kwa Watoto wenye mahitaji maalum

Picha
Kanal Evance Malasa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kibondo alipokuwa akiwahutubia Wageni kwenye hafla ya kukabidhi zawadi zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya Watoto wenye Mahitaji Maalum katika Shule ya Msingi Nengo iliyoko Kibondo Mkoani Kigoma Hapa Dc Malasa akikabidhi zawadi hizo kwa Watoto wenye Mahitaji Maalum Baadhi ya Zawadi zilizotolewa Jesca Andason akitoa shukrania kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu Hassani  Ibrahimu Masumbuko Mwl Mkuu shule ya Msingi Nengo Elimu Jumuishi Samia atoa msaada kwa Watoto wenye mahitaji maalum Muhingo Mwemezi Kibondo Watoto wenye Mahitaji maalum wanaoishi kwenye Nyumba maalum za kuwahifadhi watoto hao, wanahitaji faraja kutoka kwenye jamii kwani nao wanauhitaji haki kama Binadamu wengineambapo jamii imetakiwa kuendelea kujitoa kwa hali na mali kusaidia makundi hayo hapa nchini Suala la ulinzi wa Watoto hao linaihusu jamii yote kwani unyanyasaji dhidi yao, unaanzia ngazi ya familia hivyo kila mmoja anatakiwa kutoa taa...

KASEKENYA AWATAKA VIJANA ILEJE KUJIKITA KWENYE MICHEZO

Picha
  KASEKENYA AWATAKA VIJANA ILEJE KUJIKITA KWENYE MICHEZO Naibu Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Ileje, Mhandisi, Godfrey Kasekenya amewataka vijana Wilayani Ileje, mkoani Songwe kujikita kwenye michezo na kutumia fursa ya mashindano ya kombe la Kasekenya kuimarisha afya, ushirikiano na kukuza vipaji. Akizindua Bonanza la kuhamasisha michezo Wilayani huko, Mbunge Kasekenya amesema wilaya hiyo imedhamiria kuwekeza kwenye michezo ili kukuza vipaji vya vijana na kuwawezesha kupata ajira. "Mashindano haya yatumike kama chachu ya kuhamasishana kufanya kazi kwa bidii na kukuza vipaji kwani michezo ni ajira, afya na urafiki", amesema Mhandisi, Kasekenya. Aidha, Kasekenya amesema kuwa Mashindano hayo pamoja na mambo mengine yanahamasisha wananchi kujiandikisha kupiga kura, kugombea na kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa Novemba 27 mwaka huu. Amefafanua kuwa Bonanza hilo ambalo ni uzinduzi wa Kasekenya Cup limekutanisha timu za mpira wa miguu wanaume na wanawake, vikundi v...

WALIMU ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAOEA ILI KUBORESHA ELIMU

Picha
  WALIMU ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAOEA ILI KUBORESHA ELIMU Kibondo.Katika kurekebisha upatikanaji wa elimu hapa nchini walimu wamehaswa kuacha tabia ya kufanya kazi kwa mazoea   ili kufikia malengo ya serikali na kuwapatia Watoto ujuzi Hayo ameyasema na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi upande wa Elimu Charles Msonde alipokuwa akizungumza na Walimu wa shule za Msingi na sekondari wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ambapo amesema Mkoa huo uko kiwango cha chini kielimu kutokana na ufundishaji usiozingatia vigezo Amesema kila mwalimua anatakiwa kujipima utendaji wake wa kazi kwa kuwasaidia wanafunzi na kuwataka kuacha mazoea kazini            Aidha Msonde ameeleza kusikitishwa kwake juu ya halimu ya elimu ilivyo wanafunzi shule za Msingi wanapanda Madarasa wakiwa hawajui kusoma wala kuandika huku walimu katika shule zinazomilikiwa na serikali wakiona ni mambo ya kaiwada na kuwahasa kuchukua hatua ‘’Wanafunzi katka shu...