Timu ya Nyarugusu juu
Michezo
Mwemezi Muhingo
Nyarugusu fc yaivunda Kasana fc mikwaju ya mabao 4 kwa 0
wakati wa kusherekea mwaka mpya 2015 mechi iliyochezwa katika uwanja wa mpira
wa miguu kata ya mabamba wilayani kibondo mkoani kigoma.
Akizungumza na gazeti la mwananchi Msimamizi wa ligi ya
mwaka mpya Bw.Jamal Abdala Tamimu aliesema wameamua kuanzisha ligi ya mwaka mpya
kwa lengo la kuwakutanisha vijana wa kata ya mabamba na wananchi ilkikusherekea
mweaka mpya 2015
Aidha Bw.Tamimu
amesema michezo ikiwa ni ajila binafsi kwa vijana ameamua kuanzisha mashindano
ya mara kwa mara ilikuwaweka vizuri vijana kisoka na kuwaepusha kutumia mda
mwingi wakiwa katika magenge na mijadala ambayo haina tija ya maendeleo kwao.
Katika kusherekea sikuu ya mwaka mpya kumechezwa michezo
mbalimbali ikiwa ni pamoja na riadha,mpira wa pete,voribal,mpira wa miguu,na
michezo mingine yote ikiwa na rengo la kudumisha michezo na kuwawerka wananachi
pamoja.
Hapo Jan1 timu ya nyaruugusu fc ilishuka dimbani kumenyana
na timu yak asana fc ambapon kasana fc ilichezea kichapo cha magoli manee kwa
mtungi,goli la kwanza lilipatikana dakika ya 18 baada ya mchezaji wa timu ya
kiasana Bw.Jonh Misigalo kujifunga mwenyewe huku bao la pili likipatikana
dakika ya 43 kupitia kwa Michel Innoncent,hadi kipindi cha kwanza kinatamatika
nyarugusu ilikuwa na magoli mawili.
Maoni
Chapisha Maoni