Machapisho

Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilaya ya kibondo Emmanuel Gwegenyeza, amejiuzulu nafasi yake

Picha
Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilaya ya kibondo Emmanuel Gwegenyeza, amejiuzulu nafasi yake Akiongea na waandishi wa habari katibu wa ccm wilaya ya kibondo Hamisi Kananda amekili kuwepo kwa swala hilo na kudai kuwa ofisi yake imepokea barua ya aliyekuwa mwenyekiti huyo iliyoandikwa sep 14 mwaka huu ikieleza sababu za kujiuzulu kwake kuhama kwa shuguli zake kutoka wilaya ya kibondo na kuzipeleka wilaya ya kakonko Amesema baada ya kupokea barua hiyo ilipelekwa kwenye kikao cha kamati ya siasa ya wilaya hiyo na kujiridhisha  kisha kukubaliana na ombi hilo kwani anabaki kuwa mwanachama wa kawaida   Gwegenyeza ambaye alikuwa mshindi wa pili katika kura za maone kusa nafasi ya ubunge katika jimbo la muhambwe alipoulizwa juu ya kujiuzulu kwake amesema kuwa ameamua mwenyewe baada ya kuona anatumia garama kubwa kusafiri kuja wilaya kibondo akitokea kakonko ambako alihamishia shuguli zake za kibiasha katibu ccm wilaya ya kibondo Emmanuel Gwegenyeza ...

Mgombea uraisi kupitia chama cha ukombozi wa umma Chauma Bw.Hashimu Rungwe amesema endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mwaka huu atahakikisha anasimamia Elimu ya watu wazima na kilimo ndege ndiyozitakazomwagilia mashamba ya wakulima .

Picha
Hashim Rungwe nikiwa Rais ndege zitamwagilia mashamba ya wakulima Mgombea uraisi kupitia chama cha ukombozi wa umma Chauma Bw.Hashimu Rungwe amesema endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mwaka huu atahakikisha anasimamia Elimu ya watu wazima na kilimo ndege ndiyozitakazomwagilia mashamba ya wakulima . Hayo aliyasema jana wakati akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika wilaya ya kibondo mkoani kigoma alipokuwa akiomba kura kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kumnadi mgombea ubunge wa jimbo la mhambwe kupitia chama hicho  Bw.Nduhirubhusa mapigano. Bw.Rungwe amesema jamii  kubwa katika nchii hii inakabiliwa na matatizo ya matabaka ya walionacho na maskini hali inayosababisha chuki na kueleza kuwa yeye atamwezesha kila mwenye uwezo wa kufanya kazi kupata fulsa nzuri hasa kutoa elimu katika kile wanachowezakukifanya ili kuleta maendeleo kwa wote na kuondoa matabaka Aliongeza kuwa ni vema kuwa kila mmoja akafanya kazi kw...

Ni wazi kuwa maisha katika uso wa Dunia hutegemea huduma ubora wa huduma zitolewazo na mazingira husika. Ukiangalia mfumo wa ikolojia wa misitu, bahari, mbugani na kwenye udongo utaona uwepo wa maji, hewa nzuri na rutuba ya udongo ndivyo vinavyopelekea wanyama na mimea kuwepo na kupendezesha mazingira.

Picha
Eneo la Igamba katika Mto Maragalasi ambako waligundulika vyura na Konokono wasiopatikana kokote Duniani ambapo lilitakikiwa kujengwa kituo cha kufua umeme  Baadhi ya washiriki wa semina ya uhifadhi viumbe hai na Mazingira iliyofanyika Kazulamimba  Donald Kasongi mkurugenzi mtendaji shirika la Governance Links akiwa mwezeshaji katika semina ya uhifadhi wa mazingira Kazulamimba Pantaleo Shoki Mkurugenzi wa utafiti na sera shirika la Governance Links Ni wazi kuwa maisha katika uso wa Dunia hutegemea huduma ubora wa huduma zitolewazo na mazingira husika. Ukiangalia mfumo wa ikolojia wa misitu, bahari, mbugani na kwenye udongo utaona uwepo wa maji, hewa nzuri na rutuba ya udongo ndivyo vinavyopelekea wanyama na mimea kuwepo na kupendezesha mazingira. Wakazi wa kata ya Kazulamimba wilaya ya uvinza mkoani Kigoma wamepata kujifunza kuhusu uhusiano uliopo kati ya mazingira na maisha ya viumbe hai katika uso wa Dunia. Waliweza kutambua kuwa Mazingira...

Wakazi wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wameitaka serikali ijayo kuhakikisha inatatua kero zinazowakabili wananchi katika maeneo mengi hapa nchini hususa kwa wale wanaoishi vijijini ambao kufikiwa na huduma mbalimbali za kijamii ni kwa kususua

Picha
Aisha Meda mkazi wa kiyobelas Juma Maganga mgombea udiwani kakonko Caros Gwamagobe aliyekuwa mgombea ubunge kura za maoni ccm Buyungu Christopha Chiiza mgombea ubunge Buyungu akipokea Ilani ya chama cha mapinduzi Julias Mbwiga katibu Ccm Kakonko  Mwinyi Ramadhani mkazi wa kakonko Wakazi wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wameitaka serikali ijayo kuhakikisha inatatua kero zinazowakabili wananchi katika maeneo mengi hapa nchini hususa kwa wale wanaoishi vijijini ambao  kufikiwa na huduma mbalimbali za kijamii  ni kwa kususua Wakiongea na clouds Tv wananchi hao ambao ni Ramadhan Mwinyi, Aisha Medas na Juliana Emily, wamesema kuwa hivi wananchi wanakumbwa na matatizo mengi ikiwa ni kukosa huduma za Afya, Maji, Barabara na Elimu na hata kutotendewa haki na baadhi ya viongozi wa ngazi za vijiji na kata hatua inayokwamisha juhudi za maendeleo Wameeleza kuwa hivi sasa nchi inaelekea kipindi cha uchaguzi mkuu wagombea wengi wa wanaf...

Shule ya msingi Nengo ya Walemavu, iliyoko wilayani Kibondo mkoani kigoma, inayohudumia wanafunzi walemavu wa mahitaji maalum inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwa ni ukosefu wa maji Vifaa vya kujinfunza na kufundishia na vyombo vya kulia chakula

Picha
Wanafunzi shule ya msingi Nengo elimu maalum walemavu Elisha  George mwanafunzi shule ya msingi nengo walemavu  Lukas Frand muu wa shule ya Nengo Islafil Ntoteye mwenyekiti chama cha walemavu wa ngozi w kibondo Shule ya msingi Nengo iliyoko wilayani Kibondo mkoani kigoma, inayohudumia wanafunzi walemavu wa mahitaji maalum inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwa ni ukosefu wa maji  Vifaa vya kujinfunza na kufundishia na vyombo vya kulia chakula Akisoma lisara kwa niaba ya wanafunzi wenzake wakati wa afla ya matembezi kwa ajili ya kutoa elimu juu ya kuwatambua na kuwa thamini walemavu yaliyoandaliwa chama cha walemavu wa ngozi Tas kwa kuzishirikisha  baadhi ya shule za sekondari za  mjini kibondo Elisha George ambaye ni mlemavu wa macho, hali inayoweza kusababisha kiwango cha elimu kushuka Ameeleza kuwa  kwa wanafunzi ambao si walemavu wa viungo wanatumia muda mrefu kuchota maji badala ya kusoma, kwa ajili ya ...

Mahakama ya Wilaya ya kibondo mkoani Kigoma imemuhukumu Mkazi mmoja wa kijiji cha Muhange Wilaya Kakonko kutumikia adhabu ya miaka 7 gerezani au kulipa faini ya shiringi milioni 6 baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha watoto wa wili raia wa kigeni kutoka nchini Burundi.

Picha
Mahakama ya Wilaya ya kibondo mkoani Kigoma imemuhukumu Mkazi mmoja wa kijiji cha Muhange Wilaya Kakonko  kutumikia adhabu ya miaka 7 gerezani au kulipa faini ya shiringi milioni 6 baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha watoto wa wili raia wa kigeni kutoka nchini Burundi. Mbele ya hakimu Mkaazi  wa Mahakama ya wilaya ya kibondo Bw.  Mlokozi Mkamuntu Mwendesha mashitaka wa Idara ya Uhamiaji  Bw. Baraka Manga   amemtaja mtuhumiwa  huyo kuwa ni  Norbeth Dominico mwenye umri wa miaka 21 mkazi wa kijiji cha Muhange Wilayani Kakonko. Mwendesha mashitaka wa idara ya uhamiaji Bw.Manga amesema kuwa mnamo Augost 16 mwaka huu, majira ya saa 11:00 asubuhi katika kituo cha Polisi cha ukaguzi wa magari mjini Kakonko mtuhumiwa alikutwa na watoto wa kike wa wili akiwasafirisha kutoka nchini Burundi kuelekea Mkoani Shinyanga kinyume na sheria. Aidha katika maelezo ya awali Bw. Manga amewataja watoto hao kuwa ni Miuelle Emmanuel mwenye umri wa miaka 16 na Safi...

Uingereza na uhamiaji haramu

Picha
Serikali ya Uingereza itatangaza leo Jumanne mapendekezo mapya ya kukabiliana na suala tata la uhamiaji. Wahamiaji ambao watapatikana wakifanya kazi kinyume na sheria nchini Uingereza na Wales, watakabiliawa na hukumu ya hadi miezi sita gerezani na kupigwa faini ya fedha nyingi.