Machapisho

Sekta ya kilimo inayotajwa kama uti wa mgongo wa Taifa hili la Tanzania, na kuonekana kuwa ni muhimu sana tangu miaka ya nyuma, lakini hivi sasa umhimu huo umeanza umepotea baada ya wakulima na wafugaji kutotambulika ipasavyo kwa ajili ya kupata mahitaji ya lazima ili kuweka ubora kwa kile kinachotarajiwa

Picha
Bidhaa za mazo ya Nyuki Seif Salumkitengo cha ufugaji nyuki Kibondo Bw, Nuhu Kaali Meneja NMB Kibondo Abel Nyasio mfugaji nyuki Kibondo; Sekta ya kilimo inayotajwa kama uti wa mgongo wa Taifa hili la Tanzania, na kuonekana kuwa ni muhimu sana tangu miaka ya nyuma, lakini hivi sasa umhimu huo umeanza umepotea baada ya wakulima na wafugaji kutotambulika ipasavyo kwa ajili ya kupata mahitaji ya lazima ili kuweka ubora kwa kile kinachotarajiwa Kukokesekana kwa hati miliki za mali ambazo hazihamishiki kama mashamba na majumba maeneo ya vjiji kimekuwa ndicho kikwazo kikubwa ikiwena ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya maswala ya mikopo Wakizungumzia swala hilo, jana wakulima na wafugaji wakati wa uchaguzi wa viongozi wa vyama vya ushiri Kibondo mkoani kigoma ambao ni Abeli Nyasio na Sospiter Eliya    wamelalamikia hali inayowakumba ya kutotambuliwa na taasisis za kifedha hapa nchini ili kupata huduma za mikopo kwa madai hawana...

Swala la uhaba wa Madawati mashuleni ambalo serikali imeamua kulitilia mkazo na baadhi wilaya na mikoa kuonekana inafanaya kila linalowezekana ili tatizo linaisha au kupungua bado linaendele kuahathili wananfunzi katika shule mbalimbali hatua inayodaiwa kuwa uenda ikasababisha kushuka kwa kiwango cha elimu kwa wanafunzi

Picha
Swala la uhaba wa Madawati mashuleni  ambalo serikali imeamua kulitilia mkazo na baadhi wilaya na mikoa kuonekana inafanaya kila linalowezekana ili tatizo linaisha au kupungua bado linaendele kuahathili wananfunzi katika shule mbalimbali hatua inayodaiwa kuwa uenda ikasababisha kushuka kwa kiwango cha elimu kwa wanafunzi Kwa upande wa shule za msingi wanafunzi wengi ujihisi vibaya hasa wanapofika madarasani na kukalia matofari na baada ya masomo ujikuta wamechafuka kwa vumbi Said Seleman ni mkuu wa shule ya sekondari Malagaras iliyoko wilayani kibondo mkoa wa kigoma, ajana wakatia wa mahafali ya sita ya kuhitimu kidato cha sita katika taarifa yake alisema kuwa shule yake ni mojawapo ya shule ambazo zimekumbwa na tatizo hali inayosababisha wanafunzi kukaa kwa kubanana sana Pamoja na changamoto ya ukosefu wa madawati, shule yake ina upungufu wa walimu wa sayansi hatua inayopelekea kuajili walimu wa masomo hayo kwa garama kubwa ingawa walimu wana uwezo mkubwa wa ufundisha...

Walimu wa shule za msingi na sekondari kwa kushirikiana na viongozi wa chama cha alimu wilayani Kibondo mkoani Kigoma jana walisimamisha shuguli za ufundishaji katika shule zao na kuelekea katika ofisi za halmashauri ya wilaya hiyo ili kudai stahiki zao ikimwemo upandishwaji wa madaraja

Picha
Judathadius mboya Ded Kibondo Lyaki Majo mwenyekiti cwt Kibondo Walimu wa shule za msingi na sekondari kwa kushirikiana na viongozi wa chama cha alimu wilayani Kibondo mkoani Kigoma jana walisimamisha shuguli za ufundishaji katika shule zao na kuelekea katika ofisi za halmashauri ya wilaya hiyo ili kudai stahiki zao ikimwemo upandishwaji wa madaraja Walisema licha ya serikali kutoa waraka wa mwongozo kuwa walimu wote ambao ngazi zao zimefikia mwisho, wapandishwe madaraja, kakini  kumekuwepo na matatizo ambayo yamekuwa yakisababishwa na ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuto watendea haki Wakiongea kwa jaziba na wengine kuangua vilio katika mkusanyiko huo walieleza pamoja na kufuatilia mara kwa mara ili wapate hatima ya madai mbalimbali bila mafanikio huku wakipewa majibu ya kukatisha tamaa kwa kuambiwa huku wengine kati yao wakilipwa fedha nusu na wengine wakiambulia patupu alisema Rashidi Mlaki  nakuongeza kuwa sababu ni watumishi waliochin...

Mwanaume Furaha John, mkazi wa kijiji cha Kinonko wilaya ya Kakonko mkoani alieyejikata utumbo kwa wembe na kulazwa katika Hospitali ya wilaya Kibondo hali yake imeendelea kuimarika kutokana na na jitihada za madaktari kuendelea kumpa matibabu

Mwanaume Furaha John, mkazi wa kijiji cha Kinonko wilaya ya Kakonko mkoani alieyejikata utumbo kwa wembe na kulazwa katika  Hospitali ya wilaya Kibondo hali  yake imeendelea kuimarika kutokana na na jitihada za madaktari kuendelea kumpa matibabu Kwa mujibu wa maelezo yake amesema  hali yake ya afya inaendelea vizuri baada kufanyiwa upasuaji na kupata matibabu maana alipofikishwa hospitalini hapo fahamu zake hazikuwa sawa kutokana na maumivu aliyokuwanayo, ila hivi sasa anaendelea vizuri maana anaweza kula,  na kutembea pia. Hata hivyo amesema  kutokana  na matatizo aliyokutana nayo atalazimika kuachana kunywa  na kufanya biashara ya kutengeneza pombe za kienyeji maana uenda ndo zimemsababishia matatizo na ameamua kumrudia Mungu wake Hamis Mohamed ambae ni muuguzi katika wod alimolazwa Furaha, anasema hivi sasa mgonjwa huyo anaendelea vizuri tofauti na alivyofikishwa  hospitalini hapo Kwa upande wake Daktari ambae amekuwa akimtibu,...

Zoezi la kumkataa katibu wa Ccm wilaya Kibondo Kigoma Hamis Kananda limechukua sura mpya Baada ya uongozi wa chama hicho mkoa, kuunda tume kwa ajili ya kuwahobi wajumbe wa Kamati ya siasa ya wilaya juu ya tuhuma zinazosukumiwa kwa katibu wao na kuamuru aachie ngazi

  Zoezi la kumkataa katibu wa Ccm wilaya Kibondo Kigoma Hamis Kananda limechukua sura mpya Baada ya uongozi wa chama hicho mkoa, kuunda tume kwa ajili ya kuwahobi wajumbe wa Kamati ya siasa ya wilaya juu ya tuhuma zinazosukumiwa kwa katibu wao na kuamuru aachie ngazi Taarifa za ndani za  kikao cha halmashauri ya ccm wilaya kilichofanyika mjini kibondo jumatatu wiki hii,kwa kushirikiana na wajumbe  wa tume hiyo, iliyoongozwa na mwenyekiti wa ccm mkoa wa Kigoma Bw, Aman Kaburu  kwa ajili ya kuchunguza tuhuma zinazomkabili Hamis Kananda, baada ya kuhoji  pande zote mbili,zinaeleza  kuwa katibu huyo alitumia vibaya madaraka yake kwa kukiuka taratibu na kukihujumu chama hicho Kutokana na jazba walizokuwa nazo wajumbe wa kikao hicho awali viongozi wa ambao ni kalembe Masod, katibu mwenezi Mkoa, walijitahidi kuwatuliza  ili mkutano uweze kwenda kwa amani na utulivu ili lengo linalokusudiwa liweze kupatikana    Kwa mujibu wa maelezo...

Wadau mbalimbali wilayani kibondo mkoani kigoma wakiongozana na mkuu wa wilaya hiyo Bi.Ruthi Msafiri wametoa vitu mbalimba katika shule ya msingi nengo ya watoto wenye ulemavu vyenye thamani ya shilingi laki nne na nusu ili kutia hamasa kwa watoto kujisomea kwa uhuru.

Picha
Ruth Msafiri Dc Kibondo akiwa na baadhi ya watoto walemavushuleni Nengo Nashon Amosi mwalimu katika shule ya msingi Elimu maalum Nengo Kibondo Ally Kombe katibu Jumhiya ya wazazi ccm W Kibondo Wadau mbalimbali wilayani kibondo mkoani kigoma wakiongozana na mkuu wa wilaya hiyo Bi.Ruthi Msafiri  wametoa vitu mbalimba katika shule ya msingi  nengo  ya  watoto wenye ulemavu vyenye thamani ya shilingi laki nne na nusu ili kutia hamasa kwa watoto kujisomea kwa uhuru. Akizungumza na wazazi na walezi  katibu wa jumuia ya wazazi ccm  wilayani hapo Bw.Ally Gombe amesema hatua ya kupeleka zawadi hizo  ni baada ya kuona watoto hao wakipata adha mbalimbali wawapo shuleni na hivyo kuona umuhimu wa kuwatembelea katika njia ya kutambua haki za watoto. Amesema jamii haina budi kuwa na mazoea ya kuwatembelea watoto hao mara kwa mara ili kuweza kuwafariji pamoja na kuwapa zawadi mbalimbali ambazo zitawahamasisha kusoma kwa bidii kuwafanya ...

Ili kuweza kuondoa kero ya umeme kwa wananchi wa Mkoa wa Kigoma na kuhepusha garama kubwa katika uzalishaji wa Nishati hiyo Shirika la umeme Tanesco lina mpango wa kuanzisha mradi wa kuzalisha umeme kwenye Mto Malagarasi kwa kuokoa garama kubwa za uendeshaji

Picha
Medard Kaleman Naibu waziri Nisahati Madini Ili kuweza kuondoa kero ya umeme kwa wananchi wa Mkoa wa Kigoma na kuhepusha garama kubwa katika uzalishaji wa Nishati hiyo Shirika la umeme Tanesco lina mpango wa kuanzisha mradi wa kuzalisha umeme kwenye Mto Malagarasi kwa kuokoa garama kubwa za uendeshaji. Sababu inayochangia garama kuwa kubwa ni mitambo ya kuzalisha umeme iliyoko katika wilaya zote za mkoa huo inatumia mafuta ambayo ununuliwa kwa kiasi kikubwa hku wateja wa umeme wakiwa ni wachache huku shirika hilo likifanya kazi kwa hasara   Akiongea na waandishi wa habari,  Naibu waziri wa Nishati na Madini Dkt Medard Kalemani alipokuwa wilayani  juzi Febr 20 wilayani Kibondo  wakati wa ziara ya kikazi na kutembelea miradi ya umeme mkoani humo ambapo, amesema kuwa shirika la umeme Tanesco katika Mkoa wa Kigoma linatumia shilingi million 60 kwa siku moja hatua ambayo ni hasara ikilinganishwa na idadi ndogo ya wateja wa nishati hiyo Kaleman...