Machapisho

Mkazi wa kijiji cha wilayani kibondo mkoani kigoma amehukumiwa kifungo cha miaka 60 jela baada ya kukutwa na hatika katika kosa la kumlawiti mkewe kinyume na maumbile bila lidhaa yake

Picha
Mwemezi Muhingo Kibondo Mkazi wa kijiji cha Kumhama wilayani kibondo mkoani kigoma amehukumiwa kifungo cha miaka 60 jela baada ya kukutwa na hatika katika kosa la kumlawiti mkewe kinyume na maumbile bila lidhaa yake Mbele ya hakimu mkazi  wa mahakama ya wilaya ya kibondo bw Erick Marley mwendesha mashitaka wa polisi bw Peter Makala amemtaja mtu huyo kuwa ni Jaribu Obedi mwenye umri wa miaka 26 mkazi wa kumuhama wilayan kibondo Bw Makala amesema kuwa mnamo tarehe 28 mpaka 30 mwezi wa 5 mwaka huu majira ya usiku katika kijiji cha kumuhama bw Jaribu alimlawiti mkewe aitwae jina linahifadhiwa, mwenye umri wa miaka 24 akiwa na mimba ya miezi saba na kwamba alimfanyia kitendo hicho siku tatu mfurulizo Aidha kitendo hicho kilisababisha mishipa kukosa nguvu hali ambayo humsababishia kutoa haja zote mfululizo bila kujizuia wala kujitambua  hali ambayo ilisababisha dada huyo kukosa uvumilivu na kwenda kutoa taarifa kwa dada yake anayeishi mtaa wa migombani mjini kibo...

Serikali imeshauriwa kutengeneza utaratibu wa kuwatawanya Wakimbizi kwa kuanzisha makambi mengine zaidi katika mikoa mingine ili kuondoa mrundikano wa wakimbizi wengi katika eneo moja hatua inayosababisha kuwepo kwa uharibifu wa miundo mbinu mbalimbali

Picha
Mwemezi Muhingo Kibondo Serikali imeshauriwa kutengeneza utaratibu wa kuwatawanya Wakimbizi kwa kuanzisha makambi mengine zaidi katika mikoa mingine ili kuondoa mrundikano wa wakimbizi wengi katika eneo moja  hatua inayosababisha kuwepo kwa uharibifu wa miundo mbinu mbalimbali  Hayo yamesemwa na baadhi ya wadau wanaotoa  huduma kwa wakimbizi katika wilaya za kakonko na kibondo mkoani Kigoma wakati wa maadhimisho ya kilele cha siku ya mazingira Duniani yaliyohusisha na utoaji  elimu ya uhifadhi wa mazingira kwa wakimbizi wa kambi ya Mtendeli wilayani Kakonko, kuwa ni vema makambi yakawa na idadi ndogo ya wakimbizi Nyinisaheri Gwamagobe ambaye ni Maneja wa shirika lijulikanalo kama Relief Devolment Societ REDESO, linalohisika na utunzaji wa mazingira katika makambi ya wakimbizi amesema kuwa wakimbizi wanapokuwa wengi katika eneo moja husababisha uharifu mkubwa wa miundo mbinu mbalimbali ikiwemo mazingira kwa muda na ku...

Kakonko;Wakazi wa wilaya ya Kakokonko mkoani kigoma wamemuomba Mkuu wa wa mkoa huo Brigedia General Msitaafu, Emmanuel Maganga kusimamia vema vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo baada ya kuingiwa na hofu kutokana na matukio ya mauwaji ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara

Picha
Mwemezi Muhingo, Mwananchi Add caption  Mkuu wa mkoa wa kigoma Brigedia General mstaafu akiongea na wananchi wa kakonko Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedi General a Mstaafu Emmanuel Maganga wa tatu kutoka kulia  akiwa amekaa kwenye madawati baada ya kukabidhiwa toka kwa meneja wa NMB kanda ya magharibi mjini Kakonko Kakonko; Wakazi wa wilaya ya Kakokonko mkoani kigoma wamemuomba Mkuu wa wa mkoa huo Brigedia General Msitaafu, Emmanuel Maganga kusimamia vema vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo baada ya kuingiwa na hofu kutokana na matukio ya mauwaji ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara Vitendo hivyo ambavyo vimekuwa vikifanyika katika maeneo mengi wilayani humo, watu wananyang’anywa mali zao wanajeruhiwa na wengine kuuwawa kikatili kwa kupigwa risasi na watu ambao wamekuwa hawafahamiki huku vyombo vya ulinzi vikidai vinaendelea na uchunguzi bila kutoa maelezo yanayoeleweka kwa wananchi Wakiongea jana katika kikao kilicho wahusisha viongozi wadini, ...

Mkuu wa mkoa wa Kigoma Emmanuel Maganga amewataka watumishi wa Serikali kuacha tabia ya kufanya kazi kwa mazoea pamoja na kutafuta maslahi binafsi pasipo kuihudumia jamii kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma hali inayo sababisha malalamiko kwa wananchiMkuu wa mkoa wa Bligedia General Emmanuel Maganga alipokuwa akizungumza na wakazi wa kifura alipotembelea kituo cha afya na kuweka jiwe la msingi katika nyumba ya mganga

Picha
Mkuu wa mkoa wa kigoma Emmanuel Maganga akiongea na wakazi wa kifura alioweka jiwe la msingi katika nyumba ya mganga wa kituo cha afya kushoto Ruth Msafiri Mkuu wa wilaya ya kibondo Mkuu wa mkoa wakigoma Emmanuel Maganga akiweka jiwe la msingi katika nyumba ya mganga kituo cha afya kifura Mkuu wa mkoa wa Kigoma  Emmanuel Maganga amewataka watumishi wa  Serikali kuacha tabia ya kufanya kazi kwa mazoea pamoja na kutafuta maslahi binafsi pasipo kuihudumia jamii kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma hali inayo sababisha malalamiko kwa wananchi Kauli hiyo ametoa  jana wakati akizungumza na wakuu  wa Idara za halmashauri na serikali kuu mjini kibondo mkoani humo, katika ziara yake ya kujitambulisha baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa kigoma akisisitiza kuwa,hali hiyo ndiyo inayopelekea kuwepo kwa mianya ya rushwa na ubadhilifu wa mali za serikali Alisema kuwa wapo watumishi wa serikali wasiyokuwa waadilifu na wasijali kazi zao na kutimiza w...

Katika kuitikia juhudi za serikali za kuboresha huduma za afya na kuokoa maisha ya Watoto na wanawake wajawazito wanaokwenda kujifunguawa katika Zahanati vituo vya afya na hosipitali kote nchini jamii imetakiwa kujitoa kwa hasa na mali hata pale serikali inapokuwa haijafikisha huduma zake

Picha
Katika kuitikia juhudi za serikali za kuboresha huduma za afya na kuokoa maisha ya Watoto na wanawake wajawazito wanaokwenda kujifunguawa   katika Zahanati vituo vya afya na hosipitali kote nchini jamii imetakiwa kujitoa kwa hasa na mali hata pale serikali inapokuwa haijafikisha huduma zake Wito huo umetolewa  wakati wa mkutano wa uchangiaji wa miundo mbinu ya umeme katika zahanati ya Kijiji cha kumhama kata ya Bitare wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma ambapo mwananchi mkazi wa kijiji hicho aliamua kulipia milion moja  baada ya kuona shida wanazozipata wanawake mara wanapofikishwa katika zahanati nyakati za usiku kwa kutumia vibatari na tochi za simu Akipokea msahada huo wa tsh milion moja Diwani wa kata hiyo Julias Kihuna amempongeza mwananchi huyo kwa moyo wa uzalendo na kusema kuwa licha ya kuwa alishachangia pamoja na wananchi wenzake ameamua ajitolee ili tatizo liweze kumalizika na wauguzi pamoja na wanaitaji huduma wasiendelee kupata shida huku muuguzi wa...

Kutokana nakutoshirikishwa kwa baadhi ya viongozi wa ngazi mbalimbali hapa nchini juu ya maswala yanayohusu maendeleo katika jamii hali hiyo imetajwa kuwa ni njia mojawapo inayosababisha kutofikiwa kwa malengo yanayokuwa yamekusudiwa

Picha
Kutokana nakutoshirikishwa kwa baadhi ya viongozi wa ngazi mbalimbali hapa nchini  juu ya maswala yanayohusu maendeleo   katika jamii hali hiyo imetajwa kuwa ni njia mojawapo inayosababisha kutofikiwa kwa malengo yanayokuwa yamekusudiwa Akizungumza katika ufunguzi wa warsha ya Madiwani iliyoandaliwana mfuko wa maendeleo ya jamii Tasaf, mkuu wa wilaya Kibondo mkoani Kigoma Bi Ruth Msafiri aliyewakilishwa na Kaimu katibu tawala wa wilaya hiyo Bw, Moshi Husein amesema kuwa pasipokuwepo na umoja na ushirikiano katika kutatua kero za wananchi serikali itaendelea kulaumiwa pasipo sababu na hatua za kufikia malengo zitakwama Warsha  hiyo iliandaliwa na tasaf wilaya Kibondo kwa ajili ya   kujenga uelewa juu ya shuguli zinazofanywa na Mfuko huo, juu  ya kunusuru kaya masikini katika maeneo yao ambapo mwanzoni hawakuweza kushiriki kabisana wala kuhusishwa na kazi za mpango huo ambapo Mkufunzi katika warsha hiyo Mhamed  Motomoto, aliwataka madiwani ...

Alieyekuwa Askofu wa Dayosisi ya Western Tanganyika Mkoani kigoma Naftali Bikaka, alieyefariki Dunia Mei 3mwaka huu alizikwa jana wilayani Kibondo

Picha
Alieyekuwa Askofu wa Dayosisi ya Western Tanganyika  Mkoani kigoma Naftali Bikaka, alieyefariki Dunia Mei 3mwaka huu alizikwa jana  wilayani Kibondo Akiongoza mamia ya waomboleza ji Askofu Sadock Makaya,  ambaye anaongoza Dayosesi ya  Western Tanganyika kwa sasa,  kwa niaba ya Askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana Nchini Dr Jacob Chimeledja, alimtaja Bikaka kuwa wakati wa uhai wake alikuwa mpenda watu na alipenda kuwajenga watu katika maisha ya kujitegemea Aidha Makaya alisema wataendelea kuyaenzi yale aliyoyafanya na kuitaka jamii kuishi kwa kutenda mema kuwasaidia maskini na kumtumania Mungu na kuishi kwa kufuata maadili ya Kiroho ili amani ya Taifa ili izidi Kudumu Kwa upande wake Askofu wa Dayosesi ya KibondoDr Themeo Ndenza, alisema  swala la kuwasaidia watu au kuwatendea mema silazima kuwa kiongozi wa Dini yoyote ila kila mmoja sehemu alipo iwe mahala pa kazi kama ofisini au kwenye Biashara mtu ana...