Machapisho

WANAFUNZI WASHINDWA KUFIKA SHULENI BAADA YA KUKUTA MTO UMEFURIKA

Picha
Baada ya kufungua shule kwa kumaliza likizo ya robo mwaka Wanafunzi wa shule ya sekondari Ikambi iliyoko Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma wameshindwa kufika shuleni hapo kuanza masomo baada ya kufika njiani na kukuta Mto umerika Maji na kushindwa kupita Wanafunzi hao baadhi ambao ni Leonida Eduad na Jayros Yora wamesema Maji katika eneo hilo yamefunika Daraja ambalo huwa wanalitumia kuvu ka kwenda shuleni kwao hivyo wameshindwa kuvuka kwa hofia kuzama  Mto huo Muwazi ulioko kwenye Kijiji cha Itumbiko  umesababisha kukatika kwa mawasiliano ya shule ya Sekondari Ikambi na maeneo  iirani ambapo wanafuni wa shule  hiyo wameiomba serikali kurekebisha Miundombinu ya Barabara mawasiliano yarejee tena Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo imefika kwenye eneo la Tukio ambapo Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Evance Malasa amesema mpaka sasa hakuna madhala ambayo yameshatokea  kutokana na Mtuo huo kujaa Maji na kuiomba serikali kujenga daraja lenye uwezo wa kuimili nguvu ya ma...

FPCT NYAWELA WAZINDUA JENGO JIPYA

Picha
 Kanisa la Free Pentekote Tanzania FPCT Kibondo Mkoani Kigoma limefanya uzinduzi wa Jengo la Kanisa Jipya katika Mtaa wa Boma Nyawela, ambalo ujenzi wake ulilianza ujenzi wake mwaka 2021 na linatarajia kukamilika mwaka huu 2023 Akizindua Jengo la Kanisa hisa hilo Askofu wa Kanisa la FPCT  Meshak Buhimbi amewapongeza Wahumini wa Kanisa hilo kujitolea Michango yao na kuhakikisha wanafanikisha malengo yao huku akiwataka kuendelea kujitoa kwa kazi zingingine za kijamii na kuwasaidia wahitaji Akiwa katika Ibada ya  kuadhimisha siku hii ya Pasaka Jamii imehaswa kushirikiana na serikali kupinga Vitendo viovu ili kudumisha Amani ya nchi kama anavyoeleza Askofu kanisa la Free pentekoste Kibondo Meshack Buhini katika Ibada iliyofanyika Kanisa la Nyawela Kibondo ambapo amesema licha ya uwepo wa sheria ipo haja ya Watu kujiepusha na uharifu kwa hiali yakiwemo mapenzi ya jinsia moja  Aidha meshak amesema licha ya uharibifu mkubwa unaonekana kutokana na mmomonyoko wa maadili ndani...

KAMATI YAITAKA TANROADS KUZINGATIA VIPENGELE VYA GHARAMA KWENYE MIRADI

Picha
 KAMATI YAITAKA TANROADS KUZINGATIA VIPENGELE VYA GHARAMA KWENYE MIRADI Na Mwandishi Wetu Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuhakikisha wanaingia mikataba ya ujenzi yenye gharama isiyokuwa na nyongeza za fedha. Imesema wakandarasi wengi  wanaoingia mikataba ya ujenzi na Tanroads wanakuja na mfumo wa nyongeza za gharama hali inayoisababishia serikali gharama zisizokuwa na tija. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Seleman Kakoso alitoa maagizo hayo jana jijini Dar es Salaam wakati kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa miundombinu ya mradi wa Dart awamu ya pili eneo la Mbagala. "Serikali imetoa fedha nyingi katika ujenzi wa mradi huu. Jitihada ni nzuri zimefanyika, tumeridhika na kwa sasa kuna maendeleo. Lakini igeni mfumo wa TRC katika ujenzi wa barabara. Wakandarasi wanakuja na mfumo wa nyongeza za gharama hali inayosababisha miradi kuwa na gharama kubwa," alisema Kakoso. Mbali na kutoa agizo hilo, kamati hiyo iliagiza Ta...

MTABILA YAONGEZA UZALISHAJI

Picha
  Kasulu. Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa JKT Mtabila kilichopo Wilayani Kasulu mkoani Kigoma, kimefanikiwa kuongeza uzalishaji wa mazao ya kilimo bustani na ufugaji, na kuwezesha vijana wanaopata mafunzo ya Kijeshi kikosini hapo,  kuwa na uwezo wa kujitegemea kutafuta fursa za kujiajili kupitia kilimo.  Katika mahafari ya kuhitimu mafunzo ya Jeshi Oparesheni  Jenerali Venance Mabeyo, Ambapo  baadhi ya vijana Julias Masuna Jesca Jeremia  jana wamesema stadi za maisha wanazofundishwa kikosini humo, zimewawezesha kuongeza uzalishaji wa mazao. ''Nilifika hapa Kikosini 825 nikiwa sifahamu mambo mengi yahusuyo maisha hasa katika masuala ya maendeleo na kujituma hasa katika sekta ya kilimo ila nilipokutana na wataalam wa Kilimo nimeweza kujifunza namna ya kuendesha kilimo kwa njia za kisasa hata matumizi ya mbolea hatua ambayo naamini itanisaidia baadae katika shuguli zangu hivyo naishukuru serikali kwa kunipatia fursa hii''alisema Julias mhitimu Afisa Kilimo k...

Mila Potofu sababu uharibifu wa Mazingira Kibondo

Picha
  Kibondo . Uchomaji Moto Mistu ni moja ya sababu zinazopelekea uharibifu wa Mazingira kwa Kiwango kikubwa licha ya jitiada nyingi zinazofanyika kwa wananchi wa Mkoa wa Kigoma Indaiwa kuwa, Wakazi wa Mkoa wa Kigoma wanalazimika kutumia Imani inayoshangaza kuchoma Moto sehemu yoyote   kwa kujipima urefu wa maisha yao ambapo Mtu akiwasha Moto ukasambaa eneo kubwa ndiyo naye ataishi maisha marefu Stephan Janks ambaye ni Afisa Mazingira Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma akiwa katika uzinduzi wa Kampeni ya upandaji Miti iliyofanyika Kiwilaya jana   kwenye Kijiji cha Kumhama Kata ya Bitare amesema kwa Mwaka jana kati ya Miti 90,000 iliyopandwa katika maeneo mbalimbali Miti 50 ,000 ilichomwa Moto na kuharibiwa kabisa na mingine kung’olewa lewa kabisa na kuchukuliwa na wananchi Janks aliongeza uwa wamekuwa wakifanya jitiada kubwa kuhakikisha wananchi wengi wanapanda Miti lakini baadae uharibiwa na baadhi ya ikiwa ni pamoja na king’oa na kwenda kuipanda sehemu nyingine bila ut...

Kakonko;Imeelezwa kuwa kutokana na kukosekana kwa huduma bora kwa wazee ni moja ya sababu zinazochangia kufa kabla ya wakati

Picha
Kakonko; Imeelezwa kuwa kutokana na kukosekana kwa huduma bora kwa wazee ni moja ya sababu zinazochangia kufa kabla ya wakati Licha yasera ya kuwahudumia wazee wenye umri mkubwa bado zipo changamo nyingi zinazowakabili ikiwa ni pamoja na ukosefu   wa chakula mavazi huduma za bora   afya na kusababisha usumbufu mkubwa na manung’uniko yasiyoisha kutoka katika makundi ya ya wazee Mbonimpa Bisaama ni Mwenyekiti wa chama cha Wazee wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma aliyasema hayo jana wakati wa utoaji misaada kwa wazee 644 wa kata ya Nyamtukuza ambapo alisema wapo wazee wengi wasiyojiweza na wengine wametelekezwa na watoto wao hali inayopelekea kuishi katika Mazingira na magumu na wengine kufa kabla ya wakati wao Msaada uliotolewa kwa walemavu wenye mahitaji maalumu ni wenye thama ya tsh milion 50.6 kutoka katika shirika lisilokuwa la kiserikali la Help Age ambao ni Magoro, Mashat   Viatu na Blanket huku mkuu wa wilaya hiyo Kanali Hosea Ndagala ak...

Wahitimu wa Jeshi la akiba wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma wameiomba serikalikuwapa kipaumbele pale zinapopatikana fulsa za kiulinzi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za ajira na pia kupatiwa mafunzo mbalimbali ya kijeshi ili waweze kujiendeleza na kuwa na ufanisi katika shuguli zao

Picha
Wahitimu mafunzo ya awali Jeshi la akiba wakiwa katika Gwaride wakati kufunga mafunzo ya awali Meja Ahmad Chande Mshauri jeshi la akiba wilaya ya Kibondo Wahitimu wa Jeshi la akiba wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma wameiomba serikalikuwapa kipaumbele pale zinapopatikana fulsa za kiulinzi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za ajira na pia kupatiwa mafunzo mbalimbali ya kijeshi ili waweze kujiendeleza na kuwa na ufanisi katika shuguli zao Baada ya kupata mafunzo mbalimbali ya kijeshi na ulinzi na usalama na ujenzi wa Taifa kwa nyanja mbalimbali na kulingana hali halis ya upatikanaji wa ajira na kuomba kupatiwa mafunzo zaidi ili kuongeza uwezo zaidi katika utendaji wao wa kazi Hayo wameyasema katika katika lisara yao iliyosomwa na Yakin Shedrack wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya jeshi hilo iliyofanyika katika Kijiji chaa Kumhasa kata ya Mulungu Tarafa ya Kibondo na kueleza kuwa wamejifunza mambo mengi yahusoyo ulinzi Kwa upande wake Mej Ahamad C...