Saudia yawaondoa raia wake Yemen kusiniVyombo vya habari nchini Saudi Arabia vinasema kuwa nchi hiyo imewahamisha raia wake na wanadiplomasia wa kigeni kutoka mji wa bandari ya Aden kusini mwa Yemen. Jeshi la wanamaji la Saudi Arabia liliongoza oparesheni hiyo. Kundoka kwa watu hao kunajiri wakati waasi wa Houthi wanazidi kuelekea mji wa Aden. Saudi Arabia iliongoza mashambulizi ya siku tatu dhidi ya waasi hao wanaoungwa mkono na Iran lakini hayo yote yameshindwa kuwazuia kusonga mbele Wakaazi wameeleza kuwepo kwa mashambulizi makubwa ya angani kwenye mji mkuu wa Yemen, Sanaa.Vyombo vya habari nchini Saudi Arabia vinasema kuwa nchi hiyo imewahamisha raia wake na wanadiplomasia wa kigeni kutoka mji wa bandari ya Aden kusini mwa Yemen. Jeshi la wanamaji la Saudi Arabia liliongoza oparesheni hiyo. Kundoka kwa watu hao kunajiri wakati waasi wa Houthi wanazidi kuelekea mji wa Aden. Saudi Arabia iliongoza mashambulizi ya siku tatu dhidi ya waasi hao wanaoungwa mkono na Iran lakini hayo yote yameshindwa kuwazuia kusonga mbele Wakaazi wameeleza kuwepo kwa mashambulizi makubwa ya angani kwenye mji mkuu wa Yemen, Sanaa.

Vyombo vya habari nchini Saudi Arabia vinasema kuwa nchi hiyo imewahamisha raia wake na wanadiplomasia wa kigeni kutoka mji wa bandari ya Aden kusini mwa Yemen.
Jeshi la wanamaji la Saudi Arabia liliongoza oparesheni hiyo.

Mji wa kusini wa bandari ya Aden nchini Yemen
Kundoka kwa watu hao kunajiri wakati waasi wa Houthi wanazidi kuelekea mji wa Aden.
Saudi Arabia iliongoza mashambulizi ya siku tatu dhidi ya waasi hao wanaoungwa mkono na Iran lakini hayo yote yameshindwa kuwazuia kusonga mbele
Wakaazi wameeleza kuwepo kwa mashambulizi makubwa ya angani kwenye mji mkuu wa Yemen, Sanaa.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

HATARI: Wengi wanunua sabuni za dawa bila maelekezo ya wataalamu

Wazazi timizeni wajibu wenu katika Malezi ili Watoto wenu wafikie Ndoto zao