Mahasimu waombwa kuruhusu misaada S Kusini

Mashirika ya misaada yanayofanyia kazi nchini Sudan kusini yamezitaka pande zinazohasimiana nchini humo kuruhusu wahudumu wa mashirika hayo kusambaza misaada bila vikwazo.
Shirika la mpango wa chakula duniani WFP linasema kuwa wafanyakazi wake watatu hawajulikani walipo baada ya kupota katika jimbo la Upper Nile State mapema mwezi huu .
Jana mashirika kadhaa ya misaada yaliondoka katika eneo la Pagak katika jimbo la Upper Nile wakihofia maisha yao .

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Matumizi ya simu kwa wanafunzi chanzo mmomonyoko wa maadili’

HATARI: Wengi wanunua sabuni za dawa bila maelekezo ya wataalamu

Wazazi timizeni wajibu wenu katika Malezi ili Watoto wenu wafikie Ndoto zao